Professional Logo & Brand Identity Design

Professional Logo & Brand Identity Design

wazirib28

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
460
Reaction score
275
Habari!

Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika vitu mbalimbali kuanzia vikubwa kama billboard hadi vidogo kama business cards, kuanzia vitu vya kuprint, online na katika media kama video. Pia logo a aina hii ni rahisi kwa kukumbukwa kwamaana hukaa haraka sana katika kichwa cha mtu yeyote yule.
Ninaamini kama unapenda na unahitaji logo nzuri utanitafuta ili nikukamilishie hitaji lako.

Gharama (in Tshs):
1. Logo na Logo presentation - 100,000/=
2. Logo, Presentation na Brand Guidelines - 150,000/=
3. Logo, Presentation, Brand Guideline na Logo Animation - 250,000/=
4. Logo, Presentation, Brand Guidelines, Logo Animation, Stationery items - 300,000/=
5. Logo, Presentation, Full Brand Identity Design - 500,000/=

NOTE:
Chagua Package unayoihitaji au unayoimudu, Lakini pia tunaweza kupanga package yako kuendana na vitu unavyovihitaji.

Mawasiliano ni Call/sms/ whatsapp +255742987749

Ahsante!
Karibu!


Angalia samples hapo chini ( samples zote hapo chini ni imaginary brands kwa maana siwezi kushare kazi ya mteja bila ruhusa yake ).

Artboard 1.jpg
Artboard 1 copy 4.jpg
Artboard 1 copy 6@2x-100.jpg
Artboard 1 copy 10@2x-100.jpg
34@2x-100.jpg


12@2x-100.jpg
12@2x-100.jpg
56@2x-100.jpg
78@2x-100.jpg
78@2x-100.jpg
Artboard 1@2x-100.jpg
Artboard 1 copy@2x-100.jpg
FFF (1).jpg
Artboard 1 copy 3.jpg
Artboard 1 copy.jpg
Artboard 1.jpg
1@2x-100.jpg
3@2x-100.jpg
123er@2x-GFHGGVTREQASDFFFGHGHGGFFGGFGFGFFHGH.jpg
123wsd@2x-GFHGGVTREQASDFFFGHGHGGFFGGFGFGFFHGH.jpg
 
Back
Top Bottom