mpenda arage JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 1,677 Reaction score 3,806 Jun 25, 2017 #21 Nanoli said: Wapigaji haooo.... Yaani Simba ni tatizo... Wajanja yao 40% wanachama woyooooo..... Teeteeeh Click to expand... Naona utumbo unakucheza mkuu! Tehe! Au ulichangia hela ya kumsajili?! Maana sio kwa povu hili.
Nanoli said: Wapigaji haooo.... Yaani Simba ni tatizo... Wajanja yao 40% wanachama woyooooo..... Teeteeeh Click to expand... Naona utumbo unakucheza mkuu! Tehe! Au ulichangia hela ya kumsajili?! Maana sio kwa povu hili.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 9,616 Reaction score 22,521 Jun 27, 2017 #22 Bujibuji said: Okwi ana umri gani? Si ni mkubwa kuliko Roger Miller? Maana Okwi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mtoto Click to expand... 26 bado kinda kabisa kwa mujibu wa wana simba mkuu sio mimi
Bujibuji said: Okwi ana umri gani? Si ni mkubwa kuliko Roger Miller? Maana Okwi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mtoto Click to expand... 26 bado kinda kabisa kwa mujibu wa wana simba mkuu sio mimi
Mr Kipago JF-Expert Member Joined Aug 20, 2016 Posts 597 Reaction score 622 Jun 27, 2017 #23 TUi la pili au la tatu? okwi maji mara moja na nasikia anatumia mtandao wetu pendwa