Professional stage 3- PSPTB

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
618
Natafuta mtu (watu) anayejiandaa kwa mitihani ya bodi ya manunuzi na ugavi PSPTB stage 3 kwa mwezi wa MAY 2015 ili tupeane kampani ya kutafuta notes na kusoma + ku discuss pamoja.....
———★————★————
Nipo Moshi hivyo ni vizuri na yeye akawa anatokea moshi au maeneo ya jirani na moshi....na awe SERIOUS

KARIBUNI.
 
Mkuu ukngetaja jinsia yako pengine ingeweza kurahisisha kupata watu wengi zaidi au kutopata hata mmoja hii italingana na jinsia yako. Believe me.
 
Rahisi sana, fungua kwenye website yao, tafuta wale ambao list ya majina yao, namba zao na jinsi zao zipo ambao walifanya P2 ya juzi, watumie sms uwaulize. Nimetumia njia hiyo na nikafanikiwa
 
Rahisi sana, fungua kwenye website yao, tafuta wale ambao list ya majina yao, namba zao na jinsi zao zipo ambao walifanya P2 ya juzi, watumie sms uwaulize. Nimetumia njia hiyo na nikafanikiwa

Nashukuru sana kwa idea yako,itanisaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…