Professional VIDEO CAMERA nzuri inauzwa Canon XL1 KWA 850,000 TU

Professional VIDEO CAMERA nzuri inauzwa Canon XL1 KWA 850,000 TU

Do you offer any guarantee/warranties IN WRITING that it is in perfect working order?
 
Sio mbaya na bei yake nzuri sema sasa issue iko kwenye guarantee si unajua sisi wabongo tukiona kitu kinaanza kuharibika ndio tunasukuma kisifie mikononi mwetu
 
Hiyo hoja ya mkuu hapo juu ya guarantee inaweza ikawa na mashiko kidogo. Wasiwasi wangu hata kama hiyo warranty itatoka ni ya mda gani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Sio mbaya na bei yake nzuri sema sasa issue iko kwenye guarantee si unajua sisi wabongo tukiona kitu kinaanza kuharibika ndio tunasukuma kisifie mikononi mwetu

Siyo kwamba naiuza coz inanisumbua hapana ni kubadili Technolojia HDV ndiyo sababu.
 
Hiyo hoja ya mkuu hapo juu ya guarantee inaweza ikawa na mashiko kidogo. Wasiwasi wangu hata kama hiyo warranty itatoka ni ya mda gani

Well hakuna mtu anayekulazimisha kuamini lakini ninachokijua mashine iko vizuri inapiga mzigo hapa naporeply iko location inashoot kwaya.
 
..Kifaa cha Elektroniki Kilichotumika Miaka Miwili Bongo...! Ngoja Tuangalie angalie Mkuu..!
 
..Kifaa cha Elektroniki Kilichotumika Miaka Miwili Bongo...! Ngoja Tuangalie angalie Mkuu..!

Mimi nimeinunua mwaka jana mwezi June2012 kutoka UK ila ilikuwa used,pia inategemea na utunzaji wa mtu kunawazungu wanatumia vitu vibaya kuliko wabongo sema kasumba tu imezoeleka.Nimeishi na wazungu kwa miaka 14 so am speaking from experience.Nikweli wabongo tunahistoria mbaya lakini siyo sahihi kugeneralise mambo.
 
Back
Top Bottom