Professo Jay - Nawakilisha ( verse by Professor Jay)

Professo Jay - Nawakilisha ( verse by Professor Jay)

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
images-39.jpg
NAWAKILISHA - PROFESSOR JAY ( VERSE) BY PROFESOR JAY

Swadata..!! Toka utotoni sauti inawika/ nami napiga goti kwa watu nakubarika/
Najenga imani kwa mashabiki wengi ma dingi/ vinapo chekechea na hata shule za msingi./

Yooh .!! Mam sapu nipoze moyo mama/ baadhi ya wanafiki naona sasa wanapana/ jina linapo kua na kashfa zinashamiri/ watu wenye hekima bado wananipa ujasiri /

Jay endelea kuifunza jamii yoh!! Natumia mifano ya kweli ndani ya fasihi / wakirisha pande zote mbeya na sumbawanga/ mwanza na kikita na Tanga na nina pepeta na twanga / natoa heshima sawa kwa professor na tahira/ vigumu kuniringajisha na mc Asie na dira / waga naona hawataki, wengine naona wana zira/ nauliza thamani ya Zidane na runyamila

Ukwaju wa kitambo

0767 542 202
 
Ni dope ila verse ya black rhino kwenye hiyo ngoma ilikua hatari
 
Back
Top Bottom