Sasa mbona na wewe unabweka humu, si uende kwake ukamshauriNaheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Ad hominem!Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
😆😆😆😆😁Mind your business Young ass!
Ulisikia maelezo yake kuhusu ile pesa ya Mboga? Si alipewa na "Bloo" wake kwa ajili ya shule ufadhili?Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Kuisema serikali ni haki ya kikatiba na kibinadamu, haki hii haihitaji moral authority.Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Mjadala umeishia hapa.Kuisema serikali ni haki ya kikatiba na kibinadamu, haki hii haihitaji moral authority.
Yani ni hivi, kama ulevi ni kitu kibaya, raia mlevi anaweza kumsema kiongozi mlevi.
Akisema kuwa mtu hatakiwi kuwa kiongozi mlevi, kama anajiona yeye mlevi, ajiuzulu uongozi awe mlevi kama raia tu.
Yule raia mlevi akawa sawa.
Kwa sababu kiwango cha kukosolewa kiongozi na kiwango cha kukosolewa raia asiye kiongozi ni tofauti.
Jadili hoja anayoitoa mtu ni kweli au si kweli, ina mantiki au haina mantiki?
Ukianza kumjadioi mtu aliyetoa hoja bila kujadili hoja hilo ni kosa la kimantiki, ni logical fallacy.
Inaitwa ad hominem logical fallacy.
Ni tabia ya watu walioshindwa hoja.
The truth is independent of the person who says it! Attack the argument, not the person who makes it.Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Nani mwenye hiyo authority?Mwamposa anayo authority ya kuisifia serikali na Samia?Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.
Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Prof Tibaijuka hata kama ana dhambi zake ila sio muuaji kama Samia aliyekaa ikulu kwa shuruti, kupitia mauaji kinyume na matakwa ya umma.Professor Anna Tibaijuka hana Moral Authority kuisema Serikali
Kuisema serikali ni haki ya kikatiba na kibinadamu, haki hii haihitaji moral authority.
Yani ni hivi, kama ulevi ni kitu kibaya, raia mlevi anaweza kumsema kiongozi mlevi.
Akisema kuwa mtu hatakiwi kuwa kiongozi mlevi, kama anajiona yeye mlevi, ajiuzulu uongozi awe mlevi kama raia tu.
Yule raia mlevi akawa sawa.
Kwa sababu kiwango cha kukosolewa kiongozi na kiwango cha kukosolewa raia asiye kiongozi ni tofauti.
Jadili hoja anayoitoa mtu ni kweli au si kweli, ina mantiki au haina mantiki?
Ukianza kumjadioi mtu aliyetoa hoja bila kujadili hoja hilo ni kosa la kimantiki, ni logical fallacy.
Inaitwa ad hominem logical fallacy.
Ni tabia ya watu walioshindwa hoja.
Kuna baadhi ya wasomi akili kubwa, wanaongozwa na akili ndogo, wanayaona madudu akili ndogo na wananyamaza kimya. Hawa sio Wazalendo na huu sio uzalendo.Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Prof Anna Tibaijuka hajahusika kwa namna yoyote na kashfa ya escrow, kupewa pesa, kile kiasi cha mboga, kusaidia shule, sio kosa Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Ujiupande wake mwingine anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account