professor J, amjibu karama mula(kala pina) kwa maneno ya khanga na tarabu

professor J, amjibu karama mula(kala pina) kwa maneno ya khanga na tarabu

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
kwa kile ambacho akikutarajiwa kwa mkongwe wa hip hop nchini niga j kumjibu kala pina kwa lugha ya mafumbo na kejeli kubwa. inasemekana nguli huyo wa bongo fleva amemtolea kala pina maneno ya khangani kumjibu kuhusu tuhuma za mbabe huyu wa kikosi cha mizinga kudai kwamba professor ni mzalilishaji na kama anabisha basi akawavalishe dada zake sidiria wakatoe shooting. mi naungana na pina kuhusu maadalili ya mtanzania, professor hajakubali ukweli kwa kuwa anajiona nduli ila ajue hata kala pina amesimama vizuri sana katika hip hop ya kweli. professor ametumia mitandao ya kijamii kumdhalilisha kala pina(mwanaharakat) kwa kumwagia maneno ya khangani. MTAJUA WENYEWE NA MABIFU YENU KAMA YANAONGEZA MAUZO AU LAH. MI NAPITA TU. Majani zima mziki:sleepy:
 
Profesa keshatoka,
hawa madogo wanapoteza tu muda wao, hebu ona hekalu la prof. j

images
 
bandugu, hawa ni akina nani? maana nasikia tu, professa sijui kalapina, mnapoweka news kama hizi wekeni na wasifu wa wahusika! sio wote tunawajua!
 
Nilimsikiliza sana Kala Pina akihojiwa na millard Ayo ameongea ukweli mtupu prof jay siku hzi hana kitu ametoa wimbo kavalisha madada vichupi...nta upload audio clip kalapina alivyosema.
 
hawa vijana wa kizazi cha chupi wanashida sana. Mim huwa wananiachaga hoi sana wengi wao wanakelele mingi mdomoni wakati hawana lolote. Kala pina kamwe hawezi lingana au fanana na profesa jay.
 
Kalapina hajui kuimba. Ni bora aache muziki akatafute kazi inayomfaa! Awe bodyguard etc
 
Nilimsikiliza sana Kala Pina akihojiwa na millard Ayo ameongea ukweli mtupu prof jay siku hzi hana kitu ametoa wimbo kavalisha madada vichupi...nta upload audio clip kalapina alivyosema.

hivi wakati wa kucheza zile ngoma za kiafrica kama sehemu ya utamaduni wetu huwa tunavaaje? si wanawake huwa wanajifunga kanga kwenye maziwa tu na kuacha kitovu nje! Kalapina asitafute umaarufu wa kijinga
 
Nilimsikiliza sana Kala Pina akihojiwa na millard Ayo ameongea ukweli mtupu prof jay siku hzi hana kitu ametoa wimbo kavalisha madada vichupi...nta upload audio clip kalapina alivyosema.
Vipi mkuu haya malalamiko ya wadada kuvaa vichupi kwenye video bado unayo?!
 
Asie huska na,shoooo ashukeerrr
 
Sasa Kalapina naona mziki umemshinda kabaki kuongea na vyombo vya habari kama msemaji wa klabu ya Msimbazi.
 
Back
Top Bottom