Professor J na Frank Majani wana beef zito

Professor J na Frank Majani wana beef zito

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1567092952579.jpeg
 
Sijaona mahali Prof Jay kulalamika hajalipwa, alichopost ni kama taarifa tu ni bahati mbaya Majani kaitafsiri vibaya.
Na mimi nimeona hivyo hivyo, mpaka nikaomba ufafanuzi zaidi kama kuna kingine zaidi.

Ujue usawa huu ukitangazwa umepewa shilingi milioni mia, wajomba wajomba wote waliokusahau kwa miaka 20 wanajirudisha kundini.

Tena na hivi Mbunge ndiyo kabisaaa, wananchi karibu wote jimboni wangetaka mgao wao.

Sasa Prof. J labda kaona aweke mambo sawa, watu wasifikiri kapokea gari la mshahara, kumbe hana kitu.

Wakimpiga vibomu asipowakatia wasione ana hiyana.

Akaona aweke mambo wazi.
 
Na mimi nimeona hivyo hivyo, mpaka nikaomba ufafanuzi zaidi kama kuna kingine zaidi.
Ujue usawa huu ukitangazwa umepewa shilingi milioni mia, wajomba wajomba wote waliokusahau kwa miaka 20 wanajirudisha kundini.
Sasa Prof. J labda kaona aweke mambo sawa, watu wasifikiri kapokea gari la mshahara, kumbe hana kitu.
Wakimpiga vibomu asipowakatia wasione ana hiyana.
Akaona aweke mambo wazi.
Ni sahihi kabisa. Labda tuseme Majani alikuwa na yake ya moyoni kuhusu Jay na hakupata wakati sahihi pa kuyatolea.
 
Majani ana kisirani sana. Ana "God complex" fulani hivi.
Sure mkuu... alinikera sana alivyo mdisrepect afande sele.. afande sele huwa anazingua labda kwa mambo yake lakini hajawahi mkosea msanii mwenzake heshima ila jamaa akihojiwaga sasa na hasa clouds anamtolea povu jamaa mpaka inakera yaani..
 
Nimesoma between the lines naona kama P-Funk ana point. Kuna unnecessary details kazitoa Prof Jay kwenye hilo bandiko lake na uwasilishaji wake wa point umekaa kimuhemko.

Ila mimi nauliza, ni nani mmiliki wa beats ? Je ni Producer au Msanii? Je kama msanii alilipa gharama za studio si ina maana ana ownership flani kwenye hiyo beat?
 
Sure mkuu... alinikera sana alivyo mdisrepect afande sele.. afande sele huwa anazingua labda kwa mambo yake lakini hajawahi mkosea msanii mwenzake heshima ila jamaa akihojiwaga sasa na hasa clouds anamtolea povu jamaa mpaka inakera yaani..
Mimi nilishafika mpaka studio yake Masaki na washkaji, nikakaa naye sana, nikaona swag lake stratospheric kama yupo Compton or something.
 
Majani ni kama vile alig'atwa na nyoka so akiona jani nmanaogopa..amehangaika sana na bongo fleva lakini hapati heshima anayostahili.
Mtu anayeelewa heshima hakustahili kumjibu Prof. Jay vile.

Majani kamjibu Prof. kama vile Prof. kasema Majani hakustahili kupata hizo hela.

Wakati Prof. alichosema ni kuweka rekodi sawa tu kwamba hela hajalipwa yeye, kalipwa Majani. Hiyo kauli haisemi kwamba Majani hakustahili kulipwa, inaweka rekodi sawa tu nani kalipwa.

Ujue Prof. mbunge yule, anawakilisha watu kibao wenye matatizo, wakisikia kapiga hela ndefu wanaweza kuweka msululu ofisini kwake wote wakiomba mgao.

Inawezekana Prof kaona isiwe tabu, bora niutaarifu umma kabla sijaonekana sitaki kugawana mshiko na wapiga kura wangu.

Majani kalipuka!
 
Back
Top Bottom