Na mimi nimeona hivyo hivyo, mpaka nikaomba ufafanuzi zaidi kama kuna kingine zaidi.Sijaona mahali Prof Jay kulalamika hajalipwa, alichopost ni kama taarifa tu ni bahati mbaya Majani kaitafsiri vibaya.
Ni sahihi kabisa. Labda tuseme Majani alikuwa na yake ya moyoni kuhusu Jay na hakupata wakati sahihi pa kuyatolea.Na mimi nimeona hivyo hivyo, mpaka nikaomba ufafanuzi zaidi kama kuna kingine zaidi.
Ujue usawa huu ukitangazwa umepewa shilingi milioni mia, wajomba wajomba wote waliokusahau kwa miaka 20 wanajirudisha kundini.
Sasa Prof. J labda kaona aweke mambo sawa, watu wasifikiri kapokea gari la mshahara, kumbe hana kitu.
Wakimpiga vibomu asipowakatia wasione ana hiyana.
Akaona aweke mambo wazi.
Majani ana kisirani sana. Ana "God complex" fulani hivi.Ni sahihi kabisa. Labda tuseme Majani alikuwa na yake ya moyoni kuhusu Jay na hakupata wakati sahihi pa kuyatolea.
Sijaona mahali Prof Jay kulalamika hajalipwa, alichopost ni kama taarifa tu ni bahati mbaya Majani kaitafsiri vibaya.
Ni sahihi kabisa. Labda tuseme Majani alikuwa na yake ya moyoni kuhusu Jay na hakupata wakati sahihi pa kuyatolea.
Sure mkuu... alinikera sana alivyo mdisrepect afande sele.. afande sele huwa anazingua labda kwa mambo yake lakini hajawahi mkosea msanii mwenzake heshima ila jamaa akihojiwaga sasa na hasa clouds anamtolea povu jamaa mpaka inakera yaani..Majani ana kisirani sana. Ana "God complex" fulani hivi.
Mimi nilishafika mpaka studio yake Masaki na washkaji, nikakaa naye sana, nikaona swag lake stratospheric kama yupo Compton or something.Sure mkuu... alinikera sana alivyo mdisrepect afande sele.. afande sele huwa anazingua labda kwa mambo yake lakini hajawahi mkosea msanii mwenzake heshima ila jamaa akihojiwaga sasa na hasa clouds anamtolea povu jamaa mpaka inakera yaani..
[emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa kaya, kapigwa m100 lakini bado anapanicP-Funk kazingua! Kupanic Itakuwa influence ya mmea tu hiyo!
🤓majani kama jina lakeP-Funk kazingua! Kupanic Itakuwa influence ya mmea tu hiyo!
Mtu anayeelewa heshima hakustahili kumjibu Prof. Jay vile.Majani ni kama vile alig'atwa na nyoka so akiona jani nmanaogopa..amehangaika sana na bongo fleva lakini hapati heshima anayostahili.