makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Ok tufanye wewe ndo Prof alafu unaambiwa umevuta 100 sasa unataka kukanusha ungesemaje ili usilete mvutano.
[emoji106][emoji106][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majani yupo sahihi kabisa!
Ok tufanye wewe ndo Prof alafu unaambiwa umevuta 100 sasa unataka kukanusha ungesemaje ili usilete mvutano.
Huyo mdutch ni wacky.
Prof anasema ni yeye ndo alimwambia p funk na anajua mzigo ni p sababu j alikuwa kwenye lebo ya p
Sasa j anasema ye kiongozi na bungeni wameongea kuhusu j kupata hela ambayo inabidi atangaze mana ingemleta shida kiutawala na j ajazungumzia p funk ye amezungumzia cosota so alitaka aseme ukwel mana ccm ana njia ya kumtoa mtu bungeni so ye ametaka waseme ukwel p funk ndo amechukua hela sema p funk alikua sober yake ya bangi akafumuka ila naona amedelete comment yake na amepigiwa na clouds amesema ayupo tayari kuongelea hilo nadhani ametambua nn kosa lake ilibidi watafutane kwanza pembeni nadhani stress za maisha pia zinamzingua now days
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa hapo kwenye Kuona kitu kweli kipo maana Ukimtengenezea beat msanii je Linabaki kuwa lako na wimbo ndo wake au????? Sijaelewa uhalali wa Majani kumiliki lile beat au ndo mkataba upo hivyo???? By the way Prof J alikuwa anaweka kumbukumbu sawa... Kijanja..Bangi zina faida zake, zimemsaidia p funk kuona kitu Fulani ktk bandiko la prof j, kitu ambacho wengi humu hamjakiona.