Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Habari wanajukwaa. Wasanii nguli walio pia wanasiasa, Joseph Haule na Joseph Mbilinyi wanapambanishwa ndani ya radio one nani zaidi jumapili hii. Muda huu watu wanapiga simu kutoa maoni nani zaidi. Nyimbo zao za enzi hizo zimepigwa na kubamba ile mbaya. Sugu kapata kura 2 na Professor J amepata kura 16.Hii ni kwa mujibu wa watu waliopiga simu.