Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Sugu hakuna kitu labda wawashindanishe kisiasa ndio Sugu atampita Profesa ila kimziki huko ni kumtukana Jay.
Sugu hajawahi kutoa Nyimbo ikawa wimbo wa Taifa ila Jay utakuta ngoma kama "Zali la Mentali,Ndio mzee,Nikusaidieje,Bongo Dar es salaam zote zilikwenda kuwa Hit Song ila Sugu alikuwa anaimba kihuni sana.