Nadhani Professor kaikosea jamii ya wasomi wote kwani alitumia neno kuwaita waliotofauti na mawazo yake ni intarahamwe! Je yeye kama professor ni utafiti gani unaonesha kuwa CCM au kundi fulani Tanzania ni intarahamwe??? It is so shameful kuwa na wasomi waongo waongo wenye kuropoka vitu visivyokuwa na ushahidi.