Mbumbumbu ukimtoa Chama wanaobaki ni uchafusuper star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
Hatukupoteza hapa Dar bhana kumbuka vizuriKina farhani walituponda sna kwenye radio zao nakumbuka tulivyocheza na ali hilal hapa dar tukapoteza jmaaa waliturarua mno tokea siku zile sijawasikiliza Tena cmg
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
super star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
Huko ukimtoa Chama tu Kwisha habariDiarra - Metacha
Job - Bacca
Bangala - Mudathir
Sema kingine kolo
Hivi huko CL Mshawahi kushinda kombe Gani!?Rivals wa Simba ni Al-Ahly,Mamelodi,Horoya,Vipers na wengineo waliopo Klabu Bingwa.Ninyi mtakutana na Simba mtakayoipania kwenye NBC P League au ASFC.Viwango tofauti,nchi moja.
Unadhani kila anayekuwa wa kwanza darasani lazima awe rais wa nchi?Hivi huko CL Mshawahi kushinda kombe Gani!?
Kuntu sanaKitu ambacho watu hatujui ni kuwa waliokuwa wanamkataa nabi kipindi kile ni mashabiki wa simba na wachambuzi uchwara wenye mahaba na simba
Nabi atawafunga simba mpaka waseme kwanini zile billion 20 hazionekani zilipo mpaka leo??😀😀😀😀😀😀😀
Kombe lako wewe ni robo na nusu tu,labda mwaka huu ulichukueUnadhani kila anayekuwa wa kwanza darasani lazima awe rais wa nchi?
Nawe unaamini kweli mashabiki wa Simba waache mambo yao waanze kumkataa kocha asiyewahusu?Kuntu kwa Haji Manara kuhusu watu wawili tu.Kuntu sana
Kuntu kwangu MimiNawe unaamini kweli mashabiki wa Simba waache mambo yao waanze kumkataa kocha asiyewahusu?Kuntu kwa Haji Manara kuhusu watu wawili tu.
Ungeielewa komenti yangu,ungetafakari kabla ya hicho ulichoandika.Ina maana unabishana na CAF kuhusu ubora wa Simba au unaleta michezo tu ya mama J?Kombe lako wewe ni robo na nusu tu,labda mwaka huu ulichukue
Wewe ni looser tu huna kombe lolote
Asante Kwa masahihishoUngeielewa komenti yangu,ungetafakari kabla ya hicho ulichoandika.Ina maana unabishana na CAF kuhusu ubora wa Simba au unaleta michezo tu ya mama J?
NB:Loosers=×
Losers(walipo Yanga)✓
Litapatikana tu.Uwe mwenye subra.Hii miaka yenye tatu(3)mwisho huleta furaha kwa Simba.Asante Kwa masahihisho
Ila una kombe lolote huko CL!?
Sasa mpaka litapopatikana wewe utaendelea kuwa loserLitapatikana tu.Uwe mwenye subra.Hii miaka yenye tatu(3)mwisho huleta furaha kwa Simba.
Mayelesuper star wa yanga ni mayele na aziz ki, hakuna timu duniani inayokuwa haina key players,lazima timu iwe nawachezaji inaowategemea....pale yanga ukimtoa mayele diarra job na bangala hakuna timu tena pale
Yanga hadi raha aisee napenda wachezaji jinsi walivyo na spirit,hii inamfanya kocha kuwa na room ya machaguo mengi kulingana na uhitaji wa timu katika mechi husika..Mwamba huyu hapa!!
Kwa bahati mbaya anafanya Kazi kwenye nchi ambayo watu wanasubiri ukosee ndiyo wakuzodoe ila ukiwa unafanya mazuri wanafumba macho.
Kwanza ametengeneza timu isiyo na Super star, timu haimtegemei mchezaji mmoja haijalishi unalipwa kiasi gani, una jina kubwa, ulinunuliwa kwa bei gani, unatoka taifa gani.
Mwamba hana maneno wala mbwembwe nyingi bali ameamua kuongea kwa vitendo.
Kipindi anaanza kuanda timu, wengi walimkosoa wakisema timu yake inakata moto kipindi cha pili, wengine wakasema hana tactics za kucheza mechi za kimataifa, mara ooh timu nzima inamtegemea Feisal tu na asipofunga timu haifungi.
Pia kuna maneno mengi ya kejeli yalizungumzwa juu yake hasa na wachambuzi wanaojikuta wao ndiyo wataalam wa soka hapa bongo.
Mwamba Nasreddine Nabi hakuwahi kuwajibu bali alifocus kwenye mipango na malengo yake alijua kuwa akiwasikiliza watamtoa kwenye reli.
Kwa sasa yupo kwenye kilele cha mafanikio ndani ya Klabu ya Yanga, kwani amefanikiwa kuitengeneza timu ya ndoto ya kila shabiki wa Yanga.
Ametengeneza timu ambayo kila anayepewa nafasi ya kuanza kwenye mechi anatoa burudani stahiki kwa wananchi.
Amekuwa mwalimu mzuri wa nidhamu ndani ya Klabu ndiyo maana Saido Ntibanzonkiza alishindwa, Morison anapata shida.
Ni kocha mwenye misimamo yenye tija kwa timu yake ndiyo maana kuna wakati anawaweka bench akina Aziz Ki, Mayele, Moloko, Kisinda, Mwamnyeto na wengineo haijalishi mechi ni ngumu kiasi gani yeye anachojali ni anayecheza siku hiyo aendane na mahitaji ya mechi bhas!!
[emoji117]Robertinho wa Simba SC alijaribu hii kitu siku Moja baada ya mechi kumkataa Chama, weee[emoji38] walimwambia akirudia tena ajue Pasaka itamkuta kwao Brazil[emoji1787][emoji1787]
Hata mashabiki wa Yanga kuna kipindi maneno ya Wachambuzi yalianza kama kuwaingia hivi baadhi yao wakaanza kukosa imani na Nabi ila kwasasa amewafunga midomo, wote wanaimba wimbo mmoja tu (Nabi ni Professor)
Amewajenga kisaikolojia wachezaji wake kiasi cha kujiamini hata wakiwa nyuma kwenye mechi, timu ina fighting Spirit hawakati tamaa, hata ikitokea wamepoteza mechi hauona Yanga ikipoteana.
Mashabiki nao sasahivi Wana imani na Nabi wao, hata mechi ikiwa ngumu kwa upande wao utawaona wakiwa wametulia wakimsikilizia yeye kwasababu wanamuamini sana kwenye kufanya Sub na Mabadiliko ya mifumo ili timu ipate ushindi.
Pia nimpe hongera kwa kukuza na kulea hazina ya taifa pale jangwani, walahu tunaweza kusema kuwa amatuletea mrithi wa John Bocco kwenye kikosi cha taifa Stars.
Ni kocha gani angemuamini kinda kama Clement Mzize kwenye kikosi chenye Mayele, Musonda, Moloko, na Ki??
Huyu ndiye PROFESSOR NASREDDINE NABI Mwamba aliyewaziba midomo wambea wa mitandaoni, redioni, TV na vijiweni. Hawataki kumzungumzia tena kwasababu kwasasa hana doa wanajua kuwa wakimzungumzia watatakiwa kusema mazuri yake pekee kitu ambacho wabongo hatujajaliwa,
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kwani upressor ni taaluma?NABI SIO PROFESSOR.
NAOMBA TAALUMA ZA WATU ZIHESHIMIWE.
KAMA HUTOJALI UNAWEZA KUBADILISHA HEADING NDIPO WAUNGWANA TUSOME BANDIKO LAKO.
#usipotoshe.
MTAIFAHAMU KWELI NAYO KWELI ITAWAWEKA HURU.
yohana 8:32