joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mangungu siku aliyo mtambulisha kocha wenu moja ya goal aliyompa ni kumfunga Yanga,so Yanga hawezi kutoka ndani ya vichwa vyenu na April unagongwa tena.Ila,kwa akili hizi za kusubiri kuifunga Simba huwa mnaonesha kufeli sana.Hamkui?Zile lugha za..."mimi bila kumfunga mtani sioni raha'...,jaribuni kuzipunguza.Think big,boys!Kujeni na "mamikakati kabambee" ya kusonga mbele kimataifa.Msiangalie pua zenu zinapoishia.
Hovyo kabisa huyu kijana. Hapo akajiona kachambua balaa.Moja ya wachambuzi uchwara unao wazungumzia.
View attachment 2558988
Acha kushupaza mishipa ya .... Huna ubavu wakijilinganisha na Al Ahly, Mamelod... Mchezaji wake mmoja n bajeti ya msimu mzima hapo Simba ko hebu tafuta Mambo mengine yakujilinganisha nayo.Unadhani kila anayekuwa wa kwanza darasani lazima awe rais wa nchi?
KUNA LICHAWI MOJA PALE EFM LIAITWA LIKAZUMARI...YANI BAADA YA YANGA KUSHINDA JANA LEO HALIJAENDA KWENYE KIPINDI CHA MICHEZO...LIPUBAVU KABISAMwamba huyu hapa!!
Kwa bahati mbaya anafanya Kazi kwenye nchi ambayo watu wanasubiri ukosee ndiyo wakuzodoe ila ukiwa unafanya mazuri wanafumba macho.
Kwanza ametengeneza timu isiyo na Super star, timu haimtegemei mchezaji mmoja haijalishi unalipwa kiasi gani, una jina kubwa, ulinunuliwa kwa bei gani, unatoka taifa gani.
Mwamba hana maneno wala mbwembwe nyingi bali ameamua kuongea kwa vitendo.
Kipindi anaanza kuanda timu, wengi walimkosoa wakisema timu yake inakata moto kipindi cha pili, wengine wakasema hana tactics za kucheza mechi za kimataifa, mara ooh timu nzima inamtegemea Feisal tu na asipofunga timu haifungi.
Pia kuna maneno mengi ya kejeli yalizungumzwa juu yake hasa na wachambuzi wanaojikuta wao ndiyo wataalam wa soka hapa bongo.
Mwamba Nasreddine Nabi hakuwahi kuwajibu bali alifocus kwenye mipango na malengo yake alijua kuwa akiwasikiliza watamtoa kwenye reli.
Kwa sasa yupo kwenye kilele cha mafanikio ndani ya Klabu ya Yanga, kwani amefanikiwa kuitengeneza timu ya ndoto ya kila shabiki wa Yanga.
Ametengeneza timu ambayo kila anayepewa nafasi ya kuanza kwenye mechi anatoa burudani stahiki kwa wananchi.
Amekuwa mwalimu mzuri wa nidhamu ndani ya Klabu ndiyo maana Saido Ntibanzonkiza alishindwa, Morison anapata shida.
Ni kocha mwenye misimamo yenye tija kwa timu yake ndiyo maana kuna wakati anawaweka bench akina Aziz Ki, Mayele, Moloko, Kisinda, Mwamnyeto na wengineo haijalishi mechi ni ngumu kiasi gani yeye anachojali ni anayecheza siku hiyo aendane na mahitaji ya mechi bhas!!
[emoji117]Robertinho wa Simba SC alijaribu hii kitu siku Moja baada ya mechi kumkataa Chama, weee[emoji38] walimwambia akirudia tena ajue Pasaka itamkuta kwao Brazil[emoji1787][emoji1787]
Hata mashabiki wa Yanga kuna kipindi maneno ya Wachambuzi yalianza kama kuwaingia hivi baadhi yao wakaanza kukosa imani na Nabi ila kwasasa amewafunga midomo, wote wanaimba wimbo mmoja tu (Nabi ni Professor)
Amewajenga kisaikolojia wachezaji wake kiasi cha kujiamini hata wakiwa nyuma kwenye mechi, timu ina fighting Spirit hawakati tamaa, hata ikitokea wamepoteza mechi hauona Yanga ikipoteana.
Mashabiki nao sasahivi Wana imani na Nabi wao, hata mechi ikiwa ngumu kwa upande wao utawaona wakiwa wametulia wakimsikilizia yeye kwasababu wanamuamini sana kwenye kufanya Sub na Mabadiliko ya mifumo ili timu ipate ushindi.
Pia nimpe hongera kwa kukuza na kulea hazina ya taifa pale jangwani, walahu tunaweza kusema kuwa amatuletea mrithi wa John Bocco kwenye kikosi cha taifa Stars.
Ni kocha gani angemuamini kinda kama Clement Mzize kwenye kikosi chenye Mayele, Musonda, Moloko, na Ki??
Huyu ndiye PROFESSOR NASREDDINE NABI Mwamba aliyewaziba midomo wambea wa mitandaoni, redioni, TV na vijiweni. Hawataki kumzungumzia tena kwasababu kwasasa hana doa wanajua kuwa wakimzungumzia watatakiwa kusema mazuri yake pekee kitu ambacho wabongo hatujajaliwa,
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
swali langu ni simple kucheza ligi moja ni kua rivals? maelezo mengi hayana maanaInategemea unalielewaje neno rivals na unalisoma kutoka wapi.Kinachokutesa ni kidogo sana kwa kadiri CAF walivyoeleza.Wanacheza/shindana kombe moja u-rivals utakosekanaje?Simba wasubiriwe wakirudi kwenye ASFC ndiyo mjipange kuwaita rivals wenu.Kwa kombe la mabingwa?Hell nooo!
Hutaki utafungwa, unataka utafungwa mambo ya mikakati ni ya viongozi sisi hapa ni wapiga keleleIla,kwa akili hizi za kusubiri kuifunga Simba huwa mnaonesha kufeli sana.Hamkui?Zile lugha za..."mimi bila kumfunga mtani sioni raha'...,jaribuni kuzipunguza.Think big,boys!Kujeni na "mamikakati kabambee" ya kusonga mbele kimataifa.Msiangalie pua zenu zinapoishia.
Achana nao hao mtu akishindwa hua ana tafta visingizio washa jua hawawezi kuchukua ligi na hawawezi kuifunga Yanga wameanza maneno ya kujitoa akiliUngewahi kucheza mpira ungeelewa nguvu inayowekezwa kwa ajili ya kuikabili timu pinzani ambayo inakukaribia kwenye msimamo ila kwakuwa haujawahi kucheza hauwezi kuelewa hili
Jitahidi ukaze mishipa ya makakio uache ujinga.Acha kushupaza mishipa ya .... Huna ubavu wakijilinganisha na Al Ahly, Mamelod... Mchezaji wake mmoja n bajeti ya msimu mzima hapo Simba ko hebu tafuta Mambo mengine yakujilinganisha nayo.
Kila unachokisikia na kukiona unakiamini bila uthibitisho?Mangungu siku aliyo mtambulisha kocha wenu moja ya goal aliyompa ni kumfunga Yanga,so Yanga hawezi kutoka ndani ya vichwa vyenu na April unagongwa tena.
Ukisoma ulichokiandika unaweza kukitafsiri?Kama wewe umemuamini Manara, mchukue akawe Msemaji Mkuu wa familia yako, usitupangie Mabingwa wako YANGA FC wa kumuamini, kwani Mipang'ang'a mnawashwa nini haswa na yasiyowahusu?
Ndiyo maana una akili hizo.Huwezi kunielewa.Mola akurehemu.Ungewahi kucheza mpira ungeelewa nguvu inayowekezwa kwa ajili ya kuikabili timu pinzani ambayo inakukaribia kwenye msimamo ila kwakuwa haujawahi kucheza hauwezi kuelewa hili
Uliangalia press conference wakati Mangungu ana mtambulisha Robertihno?Kila unachokisikia na kukiona unakiamini bila uthibitisho?
Heshima ya timu yoyote duniani ni kubeba Kombe Wala sio kushiriki mashindano au kufika robo final au kuitwa kushiriki super cup, au kuwa kwenye rank nzuri acha ujinga wachezaji wanapambana na kuvuja jasho uwanjani lengo lao kuu kunyanyua ndoo na inabaki kwenye historia ya timu yao milele, mchezaji akisajiliwa anapitishwa kwenye makabati aone makombe waliyobeba waliomtangulia Sasa ninyi mambumbumbu sijui mtaonesha assist za Chama na ranking za CAF au mtaonesha kufika robo final mara tatu au mtaonesha kushiriki super cup? Tukiwaambia ninyi ni mambumbumbu mlioshindikana mnabisha, mnajiweka level za juu eti sawa na Al Ahly hayo ni matusi na kuunajisi mpira wa miguu[emoji28][emoji28][emoji1787]Ungeielewa komenti yangu,ungetafakari kabla ya hicho ulichoandika.Ina maana unabishana na CAF kuhusu ubora wa Simba au unaleta michezo tu ya mama J?
NB:Loosers=×
Losers(walipo Yanga)✓
Anasahau hata Maji marefu alijiita professor [emoji23][emoji23][emoji23]Kwani upressor ni taaluma?
Jamaa hana ubongo kabisa[emoji1][emoji1]Kwahiyo simba inafanana na al ahly kwa akili yako?
Unajua kwanza mola ni nani na kurehemu ni nini? Wewe haujui chechote kile kwenye mpira ulivyo mbumbumbu unadai eti kumfunga mtani sio jambo muhimu kwasasa, wakati duniani kote derby huwa inachukuliwa uzito mkubwa mno tofauti na mechi nyingine,hivi napo haujiulizi? Unaita eti mashindano ya loser ulivyo mbumbumbu umesahau goli bora la mumeo sakho alilipata kwenye mashindano hayahayaNdiyo maana una akili hizo.Huwezi kunielewa.Mola akurehemu.
Wewe loser,tulia.Unanipotezea muda.Unajua kwanza mola ni nani na kurehemu ni nini? Wewe haujui chechote kile kwenye mpira ulivyo mbumbumbu unadai eti kumfunga mtani sio jambo muhimu kwasasa, wakati duniani kote derby huwa inachukuliwa uzito mkubwa mno tofauti na mechi nyingine,hivi napo haujiulizi? Unaita eti mashindano ya loser ulivyo mbumbumbu umesahau goli bora la mumeo sakho alilipata kwenye mashindano hayahaya