Proffessor HIRJI amefariki, mazishi yake kesho 16/03/2010 huko Njiro Makaburini, Arusha!
Hirji alikuwa Msomi na Mweledi aliyebobea, akiwa ameshika nafasi nyingi za uongozi nchini. Hadi anafariki alikuwa member wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA).
Sina details zaidi za habari za maisha yake, lakini najua kuna wadau wengi wanaomwelewa, aidha walisha'interact nae katika taaluma.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu!
raha ya milele umjalie eeeh bwana.
Na mwanaga wa milele umwanagazie,.apumzike kwa amani,...!!raha ya milele umjalie eeeh bwana.