Sisi wafanyakazi wa college of humanities and social science (udom) tunasikitika kudhulumiwa pesa zetu tulizo ambiwa na prof mwamfupe(ambaye alikuwa acting principal) tujitegemee kwa chakula wakati wa zoezi la kuwapokea first year ambazo aliahidi mara baada ya zoezi kumalizika tutarudishiwa pesa hizo.ni takribani miezi minne sasa imepita hata fununu za kurudishiwa pesa hizo hazisikiki.hivi mwamfupe ulikuwa unatudanganya ukidhani unaongea na watoto wa chekechea?kwa kweli ni nafuu ya hata prof rubagumya