Proffesor mwamfupe (udom) hela zetu za chakula wakati wa registration ya first year ziko wapi?

KADEBE

Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
9
Reaction score
0
Sisi wafanyakazi wa college of humanities and social science (udom) tunasikitika kudhulumiwa pesa zetu tulizo ambiwa na prof mwamfupe(ambaye alikuwa acting principal) tujitegemee kwa chakula wakati wa zoezi la kuwapokea first year ambazo aliahidi mara baada ya zoezi kumalizika tutarudishiwa pesa hizo.ni takribani miezi minne sasa imepita hata fununu za kurudishiwa pesa hizo hazisikiki.hivi mwamfupe ulikuwa unatudanganya ukidhani unaongea na watoto wa chekechea?kwa kweli ni nafuu ya hata prof rubagumya
 
Kila ibirisi na mbuyu wake. Nenda kwa Prof. Mlacha kazidai si ndo PFA? Ila na ww mtu mwenyewe unayemdai unamfaham vzr sana na kwa kweli km unakiri aliwafanya watoto wadogo basi ww ndo wa kulaumiwa kwa kuingia mkenge. Chek na Mwandege ama Rukia

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
hakuna dhambi kubwa dunia kama UOGA. by Godbless Lema
huyu prof si anapatikana hapo udom kwa nini usimfuate ofisini kwake ukamweleza akakupa mkuu.acha uoga chukua hatua.
 
Wezi tupu..

Vijana wa udom wameibiwa hata matengenezo ya transcript zao mbovu na ubora wa chini kuwai kutokea duniani,

Ela walizolipia wanafunzi kufanya graduation,wakaahidiwa watarudishiwa sh. 20000 mpk leo hawajarudishiwa hapa nazungumzia wanafunzi walo graduate mwaka 2012/2013 na 2013/2014. Jumla ya wanafunzi walograduate mwaka juzi ni zaidi ya 10000, sawa na shilingi zaidi ya 1,000,000,000 Milioni. Chuo kimeiba.

Na mwaka jana ni zaidi ya 5000
sawa na zaidi ya shilingi Milioni
10,000,000.

Huu ujambazi na ufisadi ulovuka mipaka.

Kikula,Mlacha na Timu yake iache utapeli na uwizi wa pesa ya wanyonge.
 
Usijitoe wewe pia umemaliza udom mwaka Jana BAPA unapoongea katika hay a nawewe use unaji include ndani kama transcript mbovu nawewe umepata.pia kwa taarifa wanafunzi waliomaliza mwaka jana karibia wote washapewa heal zao kuna wengine wemgi walipewa wakati majoho wanarudisha.
 
kwenye transcript hatuangalii ubora tunaangalia una GPA ya ngapi
 
prof Mwamfupe ndo kafanya ivyo, nilikuwa namkubali prof Rubagumya, yule mzee alikuwa mtaratibu sana anamsikiliza kila mtu awe mwanafunzi au mfanyakazi na kumpa majibu mazuri kama anashida, nasikia yupo st john kwa sasa
 

Migogoro mingi ya UDOM chanzo huwa ni pesa ama wahadhiri wamedhulumiwa au wanachuo wamesaini bila kupewa pesa!! Sijajua tatizo liko wapi ila nahisi PFA MLACHA anaweza akawa Stakeholder wa hili suala maana jamaa anaijua pesa kuliko mfuko wa jinzi. Mlacha wape hawa watu mpunga wao wapate kuishi vyema. Kama zimekopwa na sirikali wakopee hata Vodacom uwalipe sio fair Prof wangu wa Kiswahili.
 
HIZO ZOTE NI PRODUCT ZA CHUO CHA 4 KWA UBORA AFRICA. Prof Mlacha, Prof Mwanfupe,Prof Kabigumila, Prof Kikula, Prof Kinabo wote tabu tupu tena bora kinabo japo samaki mmoja akioza wote wame---
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…