Kwa mara ya kwanza umeongea pointi tupu! Sijui umekunywa nini leo.
Halafu cha kushangaza ni kwamba Waingereza wenyewe wala hawatamcheka Kanumba kwa kuongea Kiingereza kilichopinda. Wanaomcheka ni Watanzania wenzake. Strange!!
...huna haja ya kutoa mielezo mirefu kama ilani ya CCM wewe gonga THANKS tuu!
Ya Chadema ndio ndefu!...huna haja ya kutoa mielezo mirefu kama ilani ya CCM wewe gonga THANKS tuu!
Sidhani kama wanamcheka. Watu wanasema kwa sababu Kanumba anakanusha kuwa hakuongea kiingereza kibovu. wanaosema, kwa kiasi kikubwa, naamini wanafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia, lakini yeye mwenyewe hataki kukiri kuwa lugha hiyo haipandi. Ukiangalia alichokiandika kinathibitisha kuwa lugha haipandi, kwa nini anaendelea kubisha? Uungwana ni kukiri ili apate mwanya wa kujifunza zaidi... haya mambo kayakuza mwenyewe, ilikwua ni kukiri tu na kueleza wazi kwua kiingereza si lugha yake hivyo si ajabu kutoifahamu vema, siadhani kama kuna mtu angemcheka. Mbona tupo wengi hatujui kiingereza na hatuchekwi licha ya kukiri kuwa hatuijui lugha hiyo
Salute!.....
sisi pale kifungilo sister mkuu alituambia suiogope kuongea kwa sababu watuw atakucheka ila ndivyo unavyo jifunza..kama unataka maji....sema "water please"...kama unataka kwenda bathroom na hujui sentensi nzima wewe sema "bathroom please"....kwa kwenda mbele...
Sidhani kama wanamcheka. Watu wanasema kwa sababu Kanumba anakanusha kuwa hakuongea kiingereza kibovu. wanaosema, kwa kiasi kikubwa, naamini wanafanya hivyo kwa lengo la kumsaidia, lakini yeye mwenyewe hataki kukiri kuwa lugha hiyo haipandi. Ukiangalia alichokiandika kinathibitisha kuwa lugha haipandi, kwa nini anaendelea kubisha? Uungwana ni kukiri ili apate mwanya wa kujifunza zaidi... haya mambo kayakuza mwenyewe, ilikwua ni kukiri tu na kueleza wazi kwua kiingereza si lugha yake hivyo si ajabu kutoifahamu vema, siadhani kama kuna mtu angemcheka. Mbona tupo wengi hatujui kiingereza na hatuchekwi licha ya kukiri kuwa hatuijui lugha hiyo
Teh teh teh teh najaribu kufikiria kama kanumba angekuja pale Kifungilo halafu akakutamani Shem angesemaje? ..........please hahahhhahhhaha!
si mpaka aruhusiwe! hahahahahahah....Kuna shule ya missionary inaitwa soni seminary ilikuwa jirani yetu walikuwa wanawekewa ngumu....ila wanafunzi wa kifungilo tulikuwa tunapenda wanafunzi wa Magamba secondary "Bad boys"...tulikuwa tunawabamiza na english yetu ya kubahatisha aisee weeh! maana ulikuwa ukisikika unaongea kiswahili unapewa adhabu kali sana....Soni walikuwa wengi wanasomea upadri kama wewe shem.....
Hahahah Kanumba angesema Kelly something there ....... (akionyeshea kidole) please hahahahahah
hahahahaha haya bwana niliukimbia sikuwa na wito kwa kweli
No wonder una act kama Kanye west maana umelaanika na mungu kwa kukimbia wito aliokupa ukajifanya huna wito ilimradi ujifanye na wewe wamo.....lakini shem unajua mambo yanakwenda taratibu nina uhakika kuwa Kanumba atatambua mapungufu yake na kuyarekebisha...since yeye ni anataka kuwa international movie star...angalia akina salma Hayek,Panelop Cruz wote hawa wamejifunza..Panelop alikuwa hajui kabisa though now yupo gado... wote tupo njia moja you know.....
Nadhani twamsaidia kiaina hapa....sasa hivi nasikia ameanz shule pale British council, baada ya muda atatokamo. Nitake radhi aisee mimi Kanye West duuu....heri ungeniita Adebayo....!
Nadhani twamsaidia kiaina hapa....sasa hivi nasikia ameanz shule pale British council, baada ya muda atatokamo. Nitake radhi aisee mimi Kanye West duuu....heri ungeniita Adebayo....!
Mna uhakika gani kwamba Kanumba ndiye aliyeandika????????????? Kwani haiwezi kuandikwa na mtu yeyote mwenye nia mbaya na Kanumba?????????????????
may be sio kanumba mwenyewe kaandika huyu mutu kaleta tuu hii thread,kwanza hakuna hiyo website hapo,is a right out cheating and insult to JF members' ametokea shinyanga kaja Dar so yupo anajifunza kishwahili nakingereza,kajitahidi sana sana,hamuoni kiswahili ameshaweza, na soon english nayo,so Kanumba big up men, usikate tamaa,uje spain huku uanze kusema spanish