ndio maana majimbo ya upinzani yaloshinda hawatangazi hadi wachakachue . ccm hawalalamiki kuchelewa kwa matokeo why? kama siyo wako kwenye huo mradi wa kuchakachua? mwanza mchakachuaji mkuu kikwete alienda katolewa nje arusha huyu mmasai naye katoka monduli kuja kutetea jimbo la mjini kama si mwizi ni nini?