Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Kwa hiyo Lowassa kaamua kuvunja ukimya sio? Au?
Kwa hiyo Lowassa kaamua kuvunja ukimya sio? Au?
If i tell u.. u know what I'll have to do to u?
What happenned to "If I know it...u'll know it too"?
weka dau unajua kupigana na amfisadi "nyie" wanaharakati inabidi mtembeze shilingi pia...Nasikia kesho kuna mgeni muhimu kwenye kipindi hicho cha "Tuongee Asubuhi" ambacho kinarushwa saa 1:30 asubuhi. Mgeni huyo aliyeko Tanzania na mwanasiasa wa siku nyingi nasikia ataunguruma kwenye kipindi hicho na nimeomba mtu akiweza anirekodie na mimi nisije kumiss. Kutokana na unyeti wa huyo mgeni kwa sasa jina lake nalishikilia hadi atakapotambulishwa na wenye TV wenyewe.
Kama zile za Kipepe tuhakikishe tuna "TVs"..!
weka dau unajua kupigana na amfisadi "nyie" wanaharakati inabidi mtembeze shilingi pia...
duh.. yaani nilipe kurekodiwa, now that is a strategy!! Labda nimwombe RA!
Kila mtu mjasiriamali siku hizi.
duh.. you got that right. Tatizo ni kuwa hadi mbongo akubali kukulipa itabidi umlipe yeye kwanza! Well dakika yoyote sasa.
Mada inasema "Tunajifunza nini uchaguzi mdogo wa Busanda?"
Wageni ambao nadhani Mwanakijiji anatarajia waonekane kwenye kipindi hiki ni hawa kina Amos Makalla wa CCM Taifa na Erasto Tumbo wa CHADEMA.
Au nini zaidi? Nasikia kuna simu toka Marekani, atakuwa Mwanakijiji tuuuuu
Mgeni ambaye nadhani tumtarajie ni huyu wa Marekani 'mgeni wa simu'. Nasubiri kusikia mabomu yake