Program gani ambayo naweza kutumia nikiandika swahili iniletee English kwa ufasaha zaidi ukiacha translator

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English.

Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
 
Google translate
 
Hivi hawa mods wanafanya kazi gani ,, uzi Toka tar 4 Hadi Leo upo mahala sio kwake wako busy na comment za ccm
 
Back
Top Bottom