Mr_Plan Senior Member Joined Oct 2, 2021 Posts 140 Reaction score 194 Oct 4, 2022 #1 Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu
troiker JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 1,551 Reaction score 2,573 Oct 17, 2022 #2 Mr_Plan said: Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu Click to expand... Google translate
Mr_Plan said: Wanajamvi Naomba Msaada wa Kujuzwa Program Gani ambayo Nitaandika kwa Kiswahili kisha intranslate kwa English. Naitaji Kuandika Makala za Mada Kazaa..Sasa Siitajia kufanya makosa katika Uandishi wangu Click to expand... Google translate
A Agera 1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 4,088 Reaction score 4,226 Oct 17, 2022 #3 Hivi hawa mods wanafanya kazi gani ,, uzi Toka tar 4 Hadi Leo upo mahala sio kwake wako busy na comment za ccm
Hivi hawa mods wanafanya kazi gani ,, uzi Toka tar 4 Hadi Leo upo mahala sio kwake wako busy na comment za ccm
Mr_Plan Senior Member Joined Oct 2, 2021 Posts 140 Reaction score 194 Oct 17, 2022 Thread starter #4 Agera 1 said: Hivi hawa mods wanafanya kazi gani ,, uzi Toka tar 4 Hadi Leo upo mahala sio kwake wako busy na comment za ccm Click to expand... Acha Ukuda...Utavishwa Kanga
Agera 1 said: Hivi hawa mods wanafanya kazi gani ,, uzi Toka tar 4 Hadi Leo upo mahala sio kwake wako busy na comment za ccm Click to expand... Acha Ukuda...Utavishwa Kanga