Program gani ya AI inatafsiri sauti kupeleka kwenye maandishi?

Program gani ya AI inatafsiri sauti kupeleka kwenye maandishi?

WhisperAI kutoka OpenAI inageuza audio kuwa maandishi inasupport lugha kadhaa unaweza kuijaribu hapa version hii ndo rahisi zaidi kuinstall locally


Inatumia WhisperCPP ambayo haihitaji GPU
GitHub - ggerganov/whisper.cpp: Port of OpenAI's Whisper model in C/C++
Ni ya computer au simu
 
Back
Top Bottom