Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Ndio mkuu. Huo wote ni uvivu tu wa kuandika 🤔
.
. Huo wote ni uvivu tu wa kuandika 🤔
.
Ina sehemu ya kusikilizisha sautiTumia chatGPT, kwa kuandika key points, kisha ita generator ni simple tu.
Haina, nimeona tu wameongeza mfumo wa ku upload picha and documents..Ina sehemu ya kusikilizisha sauti
Sasa hiyo haiwezi niasaidiaHaina, nimeona tu wameongeza mfumo wa ku upload picha and documents..
Asante mkuuTumia voice note Al au search voicenote Al.com
🤝Asante mkuu
Ni ya computer au simuWhisperAI kutoka OpenAI inageuza audio kuwa maandishi inasupport lugha kadhaa unaweza kuijaribu hapa version hii ndo rahisi zaidi kuinstall locally
GitHub - Topping1/whispercppGUI: GUI for whispercpp, a high performance C++ port of OpenAI's whisper
GUI for whispercpp, a high performance C++ port of OpenAI's whisper - Topping1/whispercppGUIgithub.com
Inatumia WhisperCPP ambayo haihitaji GPU
GitHub - ggerganov/whisper.cpp: Port of OpenAI's Whisper model in C/C++
mungu akuweke
Zinatambua English tu nyingiWakuu wa AI
Ni App gani naweza kutumia kugenerate maandishi kutoka kwa sauti kufanya yawe maandishi?
Amenmungu akuweke
Ebu nitaijaribuTumia Copilot, hadi kiswahili inakubali.
kutype hadi uwe unaongeaTumia google docs, kwenye menu ya tools ipo imeandikwa voice typing, nadhani hii inasapoti kingereza