Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 28 Jun 13, 2021 #1 Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
NkumbiSon JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 2,483 Reaction score 3,492 Jun 13, 2021 #2 Naitafuta nitarudi
Mlenge R I P Joined Oct 31, 2006 Posts 2,125 Reaction score 2,306 Jun 13, 2021 #3 Rosegarden (Rosegarden: music software for Linux) Au chukua MIDI - Sequencer yoyote (mfano, Kinanda) halafu tengeneza na uexport a MIDI file. Hilo file lifungulie kwenye Rosegarden, utaona notation zake. Musescore (Free music composition and notation software | MuseScore) Hii ni kwa OS nyingi kama vile Windows, Linux na Mac. Pia iko kwenye Android Play Store. Software zingine: Denemo | Free and Open Music Notation Editor LilyPond – Music notation for everyone LilyPond – Music notation for everyone lilypond.org
Rosegarden (Rosegarden: music software for Linux) Au chukua MIDI - Sequencer yoyote (mfano, Kinanda) halafu tengeneza na uexport a MIDI file. Hilo file lifungulie kwenye Rosegarden, utaona notation zake. Musescore (Free music composition and notation software | MuseScore) Hii ni kwa OS nyingi kama vile Windows, Linux na Mac. Pia iko kwenye Android Play Store. Software zingine: Denemo | Free and Open Music Notation Editor LilyPond – Music notation for everyone LilyPond – Music notation for everyone lilypond.org