Programm ya MEMKWA bado ipo?

Programm ya MEMKWA bado ipo?

mousthustle

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2013
Posts
314
Reaction score
197
Nina ndugu yangu katoka kijijini hakubahatika kupata elimu ya msingi naombeni msaada kama mpango wa MEMKWA bado upo?, nipo Dar es Salaam nahitaji kujua wapi anaweza kupata msaada(ajue kusoma na kuandika).

Asanteni sana
 
MEMKWA kwa hapa Dar hakuna kama unataka ajue kusoma na kuandika tu mtafutie mwalimu.
 
Back
Top Bottom