Programme ya kuandaa timetable ya chuo au shule

Kada

Senior Member
Joined
May 3, 2009
Posts
164
Reaction score
27
Habari zenu wana JF.
Naomba yeyote anayeijua program/software inayotumika kuandaa ratiba ya vipindi vya masomo na mitihani katika vyuo au shule kubwa, anitajie tafadhali. Pia upatikanaji wake.
Natanguliza SHUKRANI.
 
Hiyo title namaanisha Program na sio Programme, samahani kwa usumbufu.
 
Kwani hayo maneno yana tofauti gani?

Hayana tofauti, just mazoea tu hususani kwenye mambo ya teknolojia naona watu wengi wamezoea PROGRAM.

Programme(United Kingdom) ni alternative form of Program. Kama kuna lingine zaidi ya hayo waweza ongezea ili tuelimishane. Otherwise, msaada wa nilichoomba hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…