Habari zenu wana jamvi.
Nahitaji programmer/ mtaalamu mbobefu wa Java EE kwa ajiri ya kunisaidia kwenye moja ya projects ambazo ninazo. Ni short term contract na tutalipana according to makubaliano.
Kwa kifupi nature ya kazi ni ku-customize mfumo ambao upo na unatumika tayari na taasisi isipokuwa kuna some updates wanazihitaji kufanyika so kwa aliye tayari na yupo vizuri kwenye Java EE awasiliane nami as soon as possible kwa namba hii 0716 650756.
Na-prefer zaidi mawasiliano ya simu kwa sababu sikai online muda mrefu au mara kwa mara so ukija kwenye comments naweza kuchelewa sana ku-respond. Details zaidi za project nitaziwasilisha kwa ambaye tutawasiliana na kukubaliana.