Good morning,
Kweli sijui hiyo mashaka inapotokea, nikwasababu natumia lugha tofauti au kwasababu zenu binafsi, anyway sidhani kama kuna sababu ya kuanza kunishuku japokua kama kinacho kukereketa we kiseme tu mi nitaelewa.
Huwa napenda kutumia lugha ya english na sometimes french kwani inafupisha maneno sana, nikama waweza andika paragraph nzima ya kiswahili na mstari mmoja tu ya english.
So kama unacha kuniuliza ku clear shuku yako be free. Au ni nick yangu na avatar yangu ndo ya waogopesha au nini?
*********Everyone has a freedom of speach, so be free*********
cheers