Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Habari zenu!
Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye safari yako ya kujifunza programming, usisite kuuliza.
Tupeane maarifa, tushirikishane resources, na tujenge jamii imara ya programmers!
Unajifunza programming language gani kwa sasa? Changamoto yako kubwa ni ipi?