Programmers na Wanaopenda Programming Tukutane Hapa!

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,367
Reaction score
2,451
Habari zenu!

Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye safari yako ya kujifunza programming, usisite kuuliza.

Tupeane maarifa, tushirikishane resources, na tujenge jamii imara ya programmers!

Unajifunza programming language gani kwa sasa? Changamoto yako kubwa ni ipi?
 
Mimi najifunza Java kwasasa niko vizuri sana. Lakini pia niko vizuri sana kwenye PHP, Vanilla Javascript, na HTML5. Pia nina ujuzi wa the Bootstrap Framework. Naitumia Bootstrap kwa ajili ya kutengeneza web application zenye muonekano wa kuvutia. Kama kuna mtu mradi anishtue nifanye kazi chapchap. Pia naweza web design, na graphics design kwa kutumia figma au adobe photoshop. Pia nina ujuzi wa principle za UI/UX design.
Kama kuna mradi au kazi yoyote niko tayari kuifanya tulitumikie taifa letu.

Hii hapa CV yangu.
 

Attachments

Mkuu ungepiga Kotlin ingependeza zaidi
 
Boss, una portfolio ambayo naweza ona kazi zako?
 
Unaongea kwa nadharia btw sidhani kama uko field.
Mkuu jamaa yupo sahihi wabongo wengi wanajiita IT kwa kupiga window, kucheza na Microsoft suit alfu akisha piga html, css & JavaScript akajua na php ndio anajiona matawi ya juu kumbe ni ka junior developer bongo mifumo michache compared na wenzetu kwanza hata Kenya na Uganda wanatushinda sana kwenye issue ya technology tupo nyuma bongo a lot of people sio interested in technology na hiyo inatufanya tuwe nyuma kwenye tech kila kukicha.
 
Yeah ni kweli ila unajua Kotlin ni improved Java alafu huko tunapoelekea Kotlin will replace Java sema sio mbaya mkuu keep doing up.
Kotlin will never replace Java, or una-assume kwamba java purpose yake ni android tu ambako pia haitokuwa leo wala kesho kuwa replaced
 
Kotlin will never replace Java, or una-assume kwamba java purpose yake ni android tu ambako pia haitokuwa leo wala kesho kuwa replaced
Kwenye Dunia ya Sasa wajanja wana invest kwenye Kotlin unadhani sababu ni nini? Kotlin is the best choice to go with pia Kotlin ni improved Java kwahiyo why working on a latest thing usiendane na kitu kipya.
 
Wapo kibao wanapiga hizi mambo mbona mkuu. Wengi sanaa tena sana
Hao ni hawa fake IT bongo developers wapo wachache mtu hajui hata kutengeneza API anajiita developer ukitaka kuamini nnacho sema njoo na project yako mkabithi mbongo anayejibrand huku online hovyo alafu mpe uone utaishia kulizwa tu
 
Kotlin will never replace Java, or una-assume kwamba java purpose yake ni android tu ambako pia haitokuwa leo wala kesho kuwa replaced
Java is used for high performance apps pia mtumie Java kwenye existing app ambazo zilitengenezwa na Java but otherwise Kotlin is the way to go Java is nothing to Kotlin libraries
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…