Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
- Thread starter
-
- #141
Aise this is a big step brother though Mimi na system zangu zinazonilipa python Nitapiga kuimprove skills zanguNakushauri chimbuka huko kwenye haya mambo.kwa sasa kushindana sijui unatengeneza software za biashara kwa tz ni ngumu.Tengeneza software inayo kupa kipato wewe mwenyewe .
View attachment 3255748
Shida roho mbaya na ubinafsi.we peleka project yako utashangaa wanafanya wao.Tech bongo haipewi shavu, inabidi programmers wa kibongo ku-organize for the biggest project itakayotrend worldwide, nadhani hiyo itasaidia kwa kiasi fulani
Duh! Kazi kwelikweliShida roho mbaya na ubinafsi.we peleka project yako utashangaa wanafanya wao.
Bongo Yani dah ni vyema uwe solo developer unapotaka kuwa na idea aise ni kama unaonesha fursa Kwa jobless mostly na recommend mtu uwe solo developer tengeneza project zako hata kama ni mini mwenyewe piga kaziShida roho mbaya na ubinafsi.we peleka project yako utashangaa wanafanya wao.
Now you start to make sense! Huwezi kusema itareplace while umeangalia market kadhaa tuNi kweli mkuu sikatai kwamba C++ inajumuisha features nyingi ambazo hazihitajiki kwenye low-level programming kama kernel au firmware development, ambapo C bado inabaki kuwa bora kutokana na low management of resources . C++ inaweza kuongeza ugumu na overhead, na sio kila feature inayotoa inahitajika kwenye mazingira ya low-level pia C programming ni low level while C++ ni mid level kwahiyo kutokana na fastness ya C inakuwa preferable kwa low level similar to rust.
Kuhusu Java na Kotlin, kama ulivyosema, Kotlin inatoa features ambazo ni modern lakini Java itabaki kuwa muhimu katika ecosystem fulani kama JSSE na Java EE, na kwa hiyo haiwezi kutenguliwa kirahisi. Kotlin inaweza kuboresha Java kwa baadhi ya maeneo pia kwa asilimia kubwa lakini Java itaendelea kutumika kwenye maeneo ambayo inahitaji lakini kwa upande wa android Kotlin ataendelea kusimama.
Kila muwekezaji huwa na interest yake, Wapo Karatu huko na Meru wanalima.Mkuu kwanini wawekezaji wengi wanawekeza Dar es salaam,Arusha, mwanza kwanini wasiende mtwara huko vijijini refer to geography factors za kuweka investment yako .
Geographical factors na opportunities mkuu. Huwezi kuwekeza mahali ambapo skilled labour wapo wachache.Kila muwekezaji huwa na interest yake, Wapo Karatu huko na Meru wanalima.
Hii ndio lugha ambayo ilinisumbua kiukweli na nadhani kwakua haiko stable sana kulinganisha na lugha nyingine.
Kwa maana sidhani kama kuna language ambayo inaizidi JavaScript kwenye kufanyiwa updates 🤣🤣🤣 hiki kilanguage engineers wake ni kama wanashindana hivi, kwanza katika haka kalanguage jambo moja linaweza kufanyika katika namna zaidi ya tatu na Kila namna haifanani na nyingine so usipokua makini unaweza kujikuta unachanganyikiwa hasa unaposoma code za watu tofauti tofauti 😅😅😅.
Imagine object inaweza kutengenezwa kwa njia tatu, ya kwamba unaweza kutumia literal object, unaweza ukatumia constructor function na pia unaweza kutumia class, na katika njia zote hizi unapotaka kufanya inheritance kuna njia zake tofauti tofauti.
Lakini katika function pia inaweza kuandikwa kwa namna tofauti tofauti na katika namna zote hizo tofauti tofauti zinaweza kutumika kufikia lengo la kuandika object kasoro aina moja tu ya arrow function na sababu inayoizuia hii ni kwakua Haina this so technically ni kama huwezi kutengeneza constructor ndani ya arrow function 😅😅😅.
Licha ya kwamba kuna function na kuna class lakini class huwa ni pure function katika JavaScript script (hapa napo huwa newbie wengi pana wachanganya, najua hata wewe msomaji wangu pamekuchanganya pia🤣)
Na jambo ambalo huwa linafanya watu wengi iwawie vigumu kukaamini haka kalanguage ni kwenye namna ya kutekeleza concurrency (kwasababu kimsingi JavaScript ni single threading programming language kwahiyo default yake ni synchronous na nadhani hapa ndipo palipo na udhaifu mkubwa wa hii language) ingawaje kuna concept ya event loop ambayo inao uwezo wa kuimaintain non blocking behavior na kupelekea asynchronous iweze kufanyika ila bado kwenye high computation intensive tasks inambwela😅😅 (Java ni machine guys)
Hii ni lugha ambayo ilinisumbua sana coz baada ya kutoka kwenye Java nilihamia huku ila sasa Java kama mnavyojua iko very strict na very stable language, kwahiyo nilipokwenda kwenye JavaScript nikawa naona mauza uza hadi nilipo amua kuukunjua mkeka wangu wa meditation😅😅😅.
Anyways, mnipe experience yenu basi na haka kalanguage ili niendelee kujicheka vizuri wakuu.

Ni programming language na hakuna mjadala juu ya hilo, shida ya JavaScript ni haiko stable kwasababu ya updates zinazofanyika mara kwa mara licha ya kuwa na community ya kutosha worldwide.Sema Kuna watu wanaosema JavaScript sio programming language kwasababu JavaScript ilianza kama lugha ya scripting, haitumiki kwenye system programming,Haina static typing(ni dynamically typed), ilitengenezwa kwa haraka sana(kwahiyo huonekana kama lugha ya majaribio), inafanya Kaz ndani ya browser tu.
Ila JavaScript ni programming on kwa upande mwingine kwasababu Ina variables,loops, function,oop,event driven pia ni turing complete kwa maana inaweza kutatua changamoto za kihesab
Japo it's a debate maana watu wengi hupingwa this isn't a Programming language
mm nitoe ushauri tu: kama unataka kuchoma miaka anza kuchukua tenda za watu ukijaliwa tengeneza kitu ambacho kitakua biashara ata sku ukiwa unaumwa bado utaingiza pesaHabari zenu!
Kama wewe ni programmer au una ndoto za kuwa mmoja wa programmer, huu ndio uzi wako! Hapa tunasaidiana, tunashauriana, na tunahamasishana. Kama unakutana na changamoto yoyote kwenye safari yako ya kujifunza programming, usisite kuuliza.
Tupeane maarifa, tushirikishane resources, na tujenge jamii imara ya programmers!
Unajifunza programming language gani kwa sasa? Changamoto yako kubwa ni ipi?
Kila unapozid kwend interest inapungua hap inabid ukaze moyo kuna mda kila unavyosom interest itaongezek ila ma bro waliotangulia kujuag hiz weng wana ego na israfuHivi vitu na wabongo, ni kama mbingu na ardh
Passive incomemm nitoe ushauri tu: kama unataka kuchoma miaka anza kuchukua tenda za watu ukijaliwa tengeneza kitu ambacho kitakua biashara ata sku ukiwa unaumwa bado utaingiza pesa
sio ata passive income idea ikitoka means na wewe umetoka financiallyPassive income
Yeahsio ata passive income idea ikitoka means na wewe umetoka financially
What matters ni idea yako na uweze kuleta kwenye Jamiisio ata passive income idea ikitoka means na wewe umetoka financially
izi mambo za kujengea mtu app utajuta utateseka mpaka unakuja kuzeeka amna urithi unaachaWhat matters ni idea yako na uweze kuleta kwenye Jamii