Programmers Only: Application ya Kuingiza neno moja na kupata maneno mengine

Recursive approach inayofanya string na integer permutation bila shaka.
 
Recursive approach inayofanya string na integer permutation bila shaka.
Nimeumia approach ya character substitution.Nimesikia cipher ya namna ya character kutumika mara nyingi ni rahisi kubreak cipher natafuta method ambayo character haitatumika mara nyingi,character ikitumika Mara moja inaachwa
 
Umenipata vyema kabisa kaka
 
Safi sana... Nina ushauri pia badala ya kua na maneno mengi yasiho na maana kwa nini usifanye iwe inazalisha maneno yenye kugumika tuu mfano.. CAT tukapata ACT.
 
Safi sana... Nina ushauri pia badala ya kua na maneno mengi yasiho na maana kwa nini usifanye iwe inazalisha maneno yenye kugumika tuu mfano.. CAT tukapata ACT.
Mkuu lengo sio kutoa maneno yenye maana lengo ni je herufi za neno fulani zinaweza kubadilishwa position mara ngapi.Ni ngumu sana mimi kuyajua maneno yenye maana yanayoundwa na herufi.ila kwenye namba application hii ndio ina maana zaidi kwasababu hakuna namba ambayo haina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…