Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,940 Reaction score 1,055 Oct 28, 2012 #1 jamani mimi ni mwanafunzi wa udom (bsc.mathematics) nataka kufanya field bank katika idara ya programming kwahiyo naomba msaada wa kimawazo ni programming language ipi ambayo bank hupenda kutumii ili nianze kujinoa nayo nawasilisha
jamani mimi ni mwanafunzi wa udom (bsc.mathematics) nataka kufanya field bank katika idara ya programming kwahiyo naomba msaada wa kimawazo ni programming language ipi ambayo bank hupenda kutumii ili nianze kujinoa nayo nawasilisha
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 591 Oct 28, 2012 #2 mkuu nakushauri kapost Tech, Gadgets & Science Forum utasaidiwa haraka zaidi