Wadau mpoo habari za kitambo kidogo
Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui wapi pa kuaznia na wapi pa kuishia sasa leo nataka nikudokeze kitu kidogo nikupe mwanga.
Programming ni maandishi au maneno ambayo unayaanndika kwa kutumia computer ili kuiongoza computer ifanye kile ambacho wewe unataka kufanya .
Je kuna aina ngapi za programming language?
programming language zipo nyingi na nitazitaja hapa mmoja hadi nyingine.
1.java
2.javascript
3.Php
4.Ruby
5.Python
6.c
7.c#
8.C++
je ni ipi prigramming language ipi nzuri ya kujifunza na ni ipi rahisi zaidi?
hapa hakuna jibu la moja kwa moja maana inategemea wewe unataka kuengemea katika upande upi?
1.Web developer
2. Mobile application
3 Dekstop application
4.Gaming
5.Hacking
1.WEB DEVELOPER
hapa nitaanza kulezea web developer kama wewe wewe unataka kujfunza web developer unabidi ujifunze kwanza mark up language ambayo ni
HTML5 na
Boostrap na Css
kwa upande kwa programming language ambayo hapa unabidi ujifunze kwa bidii sana ni
PHP na JAVASCRIPT hizi ndo programming language ambayo kama wewe unataka kuwa real web developer pamabana saana na hizi language nitakuja kuzielezea hapoa mbeleni kwa ufasaha. asilimia 99% ya website zote unazoziona duniani PHP na JAVASCRIPT ndo zinahusika hapa.
2.Mobile application
kwa wewe unapenda saana mambo ya kutengeneza ma application ya simu nakushauri kabisaa soma
JAVA NA KOTLIN (baadae ujifunze flutter na Dart) nitakuja kuelezea vizuri hapo baadae...
Nitaaendleea wadau tuko pamojaaaa...
Niataweka namba yangu ya Simu ukikwama utanicheki...
Wadau mtanisamehe sikua hewani kwa mdaa Ila soon nitaendelea stay tunned.
Kuna group lipo linaelezea vizuri saana haya Mambo so stay tunned nitaweka link hapa.