Programming Language soma ujifunze kitu

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
683
Reaction score
946
Wadau mpoo habari za kitambo kidogo

Leo mekuja hapa naona watu wengi wanapost thread kuhusu programming ila wengi wanishia njiani. Kwa hiyo kuna wengi wanopenda kujifunza wanaishia njiani hawajui wapi pa kuaznia na wapi pa kuishia sasa leo nataka nikudokeze kitu kidogo nikupe mwanga.

Programming ni maandishi au maneno ambayo unayaanndika kwa kutumia computer ili kuiongoza computer ifanye kile ambacho wewe unataka kufanya .

Je kuna aina ngapi za programming language?
programming language zipo nyingi na nitazitaja hapa mmoja hadi nyingine.
1.java
2.javascript
3.Php
4.Ruby
5.Python
6.c
7.c#
8.C++
je ni ipi prigramming language ipi nzuri ya kujifunza na ni ipi rahisi zaidi?
hapa hakuna jibu la moja kwa moja maana inategemea wewe unataka kuengemea katika upande upi?
1.Web developer
2. Mobile application
3 Dekstop application
4.Gaming
5.Hacking


1.WEB DEVELOPER
hapa nitaanza kulezea web developer kama wewe wewe unataka kujfunza web developer unabidi ujifunze kwanza mark up language ambayo ni
HTML5 na
Boostrap na Css
kwa upande kwa programming language ambayo hapa unabidi ujifunze kwa bidii sana ni
PHP na JAVASCRIPT hizi ndo programming language ambayo kama wewe unataka kuwa real web developer pamabana saana na hizi language nitakuja kuzielezea hapoa mbeleni kwa ufasaha. asilimia 99% ya website zote unazoziona duniani PHP na JAVASCRIPT ndo zinahusika hapa.

2.Mobile application
kwa wewe unapenda saana mambo ya kutengeneza ma application ya simu nakushauri kabisaa soma
JAVA NA KOTLIN (baadae ujifunze flutter na Dart) nitakuja kuelezea vizuri hapo baadae...







Nitaaendleea wadau tuko pamojaaaa...
Niataweka namba yangu ya Simu ukikwama utanicheki...


Wadau mtanisamehe sikua hewani kwa mdaa Ila soon nitaendelea stay tunned.

Kuna group lipo linaelezea vizuri saana haya Mambo so stay tunned nitaweka link hapa.
 
sawa,sema mnaanzaga vizuri then mnapotelea hewani....ukatishaji tamaa...
 
Sidhani kama wewe mleta mada ni mtaalamu wa haya mambo!

Kha! Mbona unaanza kumkatisha tamaa jamaa wakati ameeleza vizuri tu, ameanza vizuri na akipewa hamasa anaweza akaendelea kwa kutoa elimu zaidi.
Haya makitu kuyaeleza kwa kiswahili huwa mtihani, wengi humu JF huanza hivi ila kwa ukatishwaji tamaa wanatoweka.
 
Haha ngoja niifute maana anaweza kuchungulia comments akaghairi!
 
we jamaa kuna watu tunakusubiri huku,njoo endelea kumwaga madini
 
[emoji1531][emoji1531][emoji1531]
 
Naendeleza huu uzi.

Web development

Kama unataka kuwa web developer au ni web developer vifuatavyo ni vitu vya msingi kuvijua HTML, CSS hizi ni lugha za uwasilishaji(presentation) ni lazima kuzijua haijalishi utatumia lugha gani kufanyia processing/handle requests na kuproduce appropriate response.

Python hii inatumika sana kwa urahisi wake na ufanisi kuhakikisha maximum efficiency can be achieved. Frameworks maarufu Django, Flask, Frappe, etc. Moja ya sababu inayowafanya wanaoanza kutoitumia hii lugha kwa web ni kwa sababu ya hosting complication zake kwa beginners. Tolea la sasa ni 3.9

PHP hii inatumika sana kwa urahisi wake katika kila upande kuanzia speed, easy of use, abundance of learning materials i.e articles, videos, courses, etc. Frameworks maarufu Symfony, Laravel, CodeIgniter, Zend, CakePHP, etc. Recommended framerwork for beginners Laravel. Hosting ya php project ni very easy na most of web host wanasupport PHP outright.

Javascript hii inatumika kwenye kila mahala sasa, kutokea kwenye server processing to client scripting. Javascript ipo kila mahala, frameworks za Javascript ni nyingi sana na zinaongezeka kila siku. Library/Framework maarufu ni Angular, AngularJS, React, Vue, Meteor, Backbone, etc. Hii unaweza kuitumia kutengeneza vitu vingi ukiacha web development kama desktop apps i.e games, utilities, etc

Java hii ni moja ya lugha inayofanya kila kitu. Upande wa web hii inatumika sana kwa makampuni makubwa. Hosting ya java web apps hua ni ghali na complicated setup inayohitaji experience ya kutosha. Web frameworks maarufu Spring, Play, Grails, etc. Kama unadevelop a massive complicated network application ni vema kutumia Java.


Links
Django Framework Website
Flask
Frappe Framework
Symfony Framework
Laravel Framework
CodeIgniter Framework
Zend Framework
CakePHP
AngularJS
Angular
React
Vue
Meteor
Backbone
Spring
Play
Grail
 
Wapendwa wateja wetu wa majeneza napenda kuwajulisha kuwa kuanzia tarehe 01 December tunatoa offer ya punguzo la bei kwa majeneza ya aina zote msimu huu wa sikukuu..
Tunapatikana Dodoma. Pia tunatuma mzigo nje ya mkoa kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…