Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

Programming sio lelema asee..! Mie nilijifunza HTML na sasa hivi nipo CSS

Html sio programming language hiyo ni markup language
Nadhani na css>>cascading style sheet pia yenyewe iko kwa ajili ya styling
Unapozungumzia programming ni kama java, javascript, c#,python, rust,ruby etc
 
Hongera mzee Ladder 49

Umeandika vitu vya maana sana, hata Benjamin Fernandes ni self made Programmer kupitia Youtube ambae ni mtanzania aliefanikiwa kudevelop App yake ya mambo ya finance

Shida ya you tube ni kwamba wale instructors wamejanjaruka mfano mzuri kuna huyu jamaa anaitwa mosh hamedani anaelekeza kitu akifika mahali anakuambia ukitaka kuelewa vizuri nenda kalipie course yangu kule nimeweka kila kitu sawa

Kwa anayependelea kujifunza web development ningetoa suggestion alipie course ya mwanamama angela yu iko udemy ameanzia kwenye html css bootstrap javascript DOM jquery node.js database>>>mysql, mongodb. API, react etc
 
Programming ina depend zaid na personality ya mtu. ukiwa unaweza kukaa 8+ hours reading something mpk uelewe thats green light, u need to spend alot of time kujifunza how stuff works, na huwezi kufanikiwa ikiwa huna passion.Last thing jitahidi usome kwa mpangilio ili usipoteze muda, so u need somebody ambae tayari ni programmer akuelekeze, kujisomea mwenyewe vitabu cjui video ni vzuri but u will waste alot of time na rahisi kukata tamaa. Ushauri wangu nenda kasome CS au IT upate basic then kama unaipenda programming itakuwa so easy kufika mbali.
 
Mkuu mbona kuna self trained programmers wengi tu na wakati mwingine self trained programmers wanaonyesha expertise kubwa kuliko hata hawa From College.
 

Kulipia ni dollar ngapi?

Programming with mosh na muona kama Mjanja mjanja tu wa mjini sio programmer huyo itakuwa anasoma anakuja kufundisha tu,wengine inakuwa ndio kazi yao wanatengeneza kabisa software.
 
Kujua kingereza haimaanishi utaandika a masterpiece..., Knowing the lingo is one thing but what you do with the lingo is quite another..., haya mambo sio ya kulazimisha au kulazimisha ukiwa na interest uka-practise na kufanya na kufanya utakuwa bora....

Na inahitaji pia a good idea ya kukidhi need fulani and the best products unakuta zinafanywa na teams of people (shareware) kama hauna muscles za kina microsoft as hapo utapata msaada wa ku-report bugs and fix them...

Kabla sijamaliza market having the best app in town haimaanishi utapata pesa au watu kuitumia labda tengeneza ungana na kina Tigo / Voda wakusaidie kuipeleka mainstream unless otherwise watu watafanya reverse engineering na kuondoka na idea yako kama ni groundbreaking...

Kwa ufupi do it for the love..., kupata pesa au kujilipa ni matokeo
 
Kulipia ni dollar ngapi?

Programming with mosh na muona kama Mjanja mjanja tu wa mjini sio programmer huyo itakuwa anasoma anakuja kufundisha tu,wengine inakuwa ndio kazi yao wanatengeneza kabisa software.
Kutengeneza software na kufundisha ni vitu viwili tofauti, developers wengi wazuri hawawezi kufundisha chochote.

Mosh ni mwalimu mzuri sana ila kuna resources nyingi ambazo ni bure kabisa siku hizi kama odin project na freecodecamp zinatosha kabisa kukutoa zero hadi jr developer hasa katika web development.
 
Haya sawa tumekuelewa...
Kwa hiyo, hivi ndio IT wa kibongo wanavyoupiga mwingi?
Wanaanzia kusoma kozi za IT "Mwisho Mwanzo"
 
Hili bango lifanywe sticky, ni muhimu sana kwa wanao anza kujifunza programming, maana usipokua makini utahangaika sana, hata mimi ni self-taught na niliparamia vitu vingi sana na kupoteza muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…