Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

Kulipia ni dollar ngapi?

Programming with mosh na muona kama Mjanja mjanja tu wa mjini sio programmer huyo itakuwa anasoma anakuja kufundisha tu,wengine inakuwa ndio kazi yao wanatengeneza kabisa software.
Kuna kipindi wanatoaga ofa kwa hiyo inashuka mpaka dolla 10-13
Ila kwa kawaida bei yake iko juu sana
 
Mama mwenyewe ndio huyo. Hiyo hapo ni course ya flutter kama unataka kukimbia react native. Simsifii course zake nyngi ni best seller
 
Mama mwenyewe ndio huyo. Hiyo hapo ni course ya flutter kama unataka kukimbia react native. Simsifii course zake nyngi ni best sellerView attachment 2303751

React native niliacha baadaya kuona kuna text na view ambayo ni kama html na css sasa nikaona siwezi kuacha kusoma html na css kipindi hicho nilikuwa tayari nimeshaanza kusoma halafu niache nikaanze upya kusoma text na view.
 
Napiga HTML nikipata muda wa kutosha nakomaa na Fronted deep down
 
Wakuu habari za mida Binafsi nampongeza Ladder 49 Kwa zuriii Na ushauri mzuri. Mimi nimesoma Kemia Na wakati tunafundishwa chuo mwaka wa kwanza tulifundishwa Intro ya C++ programming language nilipendezwa Na kozi hii inahitaji kufikiria Na kubuni kitu japo kwakipindi kile sikuelewa kabisa kozi hii ila niliridhia moyoni kuwa hatanikializa chuo lazima niwe Na za coding hivyo kwasasa ninajifunza taratibu C++ ili nielewe vizuri...Baadae nijivunze lugha nyingine
 
mkuu usiwe na haraka ya kujifunza lugha nyingine , wewe chagua lugha yoyote ile unayotaka maana kujua lugha moja sio kazi rahisi kama unavyodhani inachukua muda sana.

C++ iko vizuri sana tu. kuna dada anaitwa jenny lecture yuko youtube pale amefundisha vizuri sana C++, angalia hizo video zake hapo halafu kuna kitabu nimekiweka hapo juu cha C++ soma hivyo tu usiwe na mambo mengi ila inawezekana kabisa mkuu ukikomaa mambo yanaeleweka.

usiwaze sana chakutengeneza na wakati hata code bado ujaanza kujua, wengi hapo ndio tuna fail.wewe practise kwanza code kwakutengeneza vitu vidogo halafu baada ya kujua vizuri utaamua wewe sasa utengeneze nini maana wakati huo utakuwa unajua tayari.

wengi tuna waza na tunataka tutachotengeneza hicho hicho ndio kitu toe kimaisha na sio kutengeneza vitu vingi kimoja kati yao ndio kitutoe.

unatumia video za nani au kitabu gani unatumia kujifunzia hiyo C++ ?
 
Hivi coding inahusika Kwenye kutengeneza tu mfano software, web,cloud nk baada ya hapo inatumika tena?
 
Hio biashra ya kusoma nImeachia wanazi kama wewe, kuna kitu kinaitwa jot forms nafikiri kinasaidia mie kupata nitakacho.
 
Hivi coding inahusika Kwenye kutengeneza tu mfano software, web,cloud nk baada ya hapo inatumika tena?
ndio mkuu. language ndio inatumika kutengeneza hivyo vitu.baada ya hapo inatumika tena? hapo sijakupata ulikuwa unamaanisha nini?
 
Hio biashra ya kusoma nImeachia wanazi kama wewe, kuna kitu kinaitwa jot forms nafikiri kinasaidia mie kupata nitakacho.
mkuu kusoma kwa kusoma vitabu aisee inachosha sana , bora uwe unasoma kwa kuangalia videos tu . jot forms inafanya je kazi mkuu.
 
mkuu kusoma kwa kusoma vitabu aisee inachosha sana , bora uwe unasoma kwa kuangalia videos tu . jot forms inafanya je kazi mkuu.
Imerahisisha tu nafikiri kitu cha muhimu kwenye system ni forms hasa kwa ajili ya kukusanyia data na kukusanyia orders kama mfumo ni wa manunuzi wenye integration na mifumo ya malipo
 
mkuu kusoma kwa kusoma vitabu aisee inachosha sana , bora uwe unasoma kwa kuangalia videos tu . jot forms inafanya je kazi mkuu.
 
ndio mkuu. language ndio inatumika kutengeneza hivyo vitu.baada ya hapo inatumika tena? hapo sijakupata ulikuwa unamaanisha nini?
Mfano tumetumia coding kutengeneza let say web browser software baada ya kuwa tayari tunayo tunaitaji ujuzi tena wa coding Kwenye ku prosses au kuiendesha web browser
 
Imerahisisha tu nafikiri kitu cha muhimu kwenye system ni forms hasa kwa ajili ya kukusanyia data na kukusanyia orders kama mfumo ni wa manunuzi wenye integration na mifumo ya malipo
Hivi bussines website ya aina gani ni rahisi kuiendesha ambayo haina complication nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…