Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

Mfano tumetumia coding kutengeneza let say web browser software baada ya kuwa tayari tunayo tunaitaji ujuzi tena wa coding Kwenye ku prosses au kuiendesha web browser

Mkuu uzoefu wangu me uko kwenye website ,utahitaji kwa sehemu ndogo sana, maana hapo lazima utafanya updates tu
 
Hivi bussines website ya aina gani ni rahisi kuiendesha ambayo haina complication nyingi
kwa upande wangu me na website ya education hapo ni na template 2 tu template ya home page na ya notes tu
hiyo ya notes ni moja tu kwa course za masomo yote. huko kwingine hakuna usumbufu wowote maana hakubadiliki sana.

kwenye website hakuna kaka complication zozote ngoma ikikamilika tu hapo unaingia tu kwenye sehemu ya kuwekea hiyo website yako unafanya updates tu ya unachokitaka kibadilike kama unataka kutoa au kuongeza kitu , kama utakuwa na server basi unaenda kubadilisha kwenye server huko ukiwa umeeingia kwenye system ya aliyekuudhia storage kwenye file manager.

malipo yote pale pale kwa waliokuudhia hiyo storage kama walikuudhia na domain name. kinachotakiwa hapo ni kujiamini tu, kule google nilipata changamoto ya keyword title na description maana nilikuwa sijui chochote kuhusiana nahayo mambo . hiyo ni kwamba unafanya setting ili uweze kupatikana kwenye google na search engine zingine watu wakisearch kitu kwenye google au bing ,na website yako ije pale ,maana ukisearch kitu kwenye mtandao watu wamefanya setting kwenye page zao sasa zimefanana na wewe ulichosearch(ulichoandika) pale ndio maana google kimekuletea pale. usipo weka keyword hatutakuja kwenye site yako maana hakuna keyword za kutufikisha hapo kwenye site yako japo site iko mtandaoni.

ungeitaja tu kwa mfano bussines website hata yoyote ile tuone kama itakuwa na mambo mengi au la!

mkuu kama nimekuelewa swali lako.
 
Nimekupata sana kwa mfano streaming website
 
Nimekupata sana kwa mfano streaming website
mkuu hapo inategemea kama hizo taarifa unatoa kwa mtu (unanunua kwa mtu)yaani hapo unatumia api key kuleta taarifa kwenye site yako kama vile livescore, music lyrics, tuanzie hapo sasa kama unanunu kutoka kwa mtu unazipitishia kwenye server halafu zinatoka kwenye server ndio zinakuja kwenye website yako au zije moja kwa moja kwako bila kupitia kwenye server , kama utataka na kudownload hapo unatumia framework inategemea na wewe unatumia language gani kama JavaScript kuna express, kama python kuna Django. kama hazitoki kwa mtu unaanzia hapo kwenye server

Nyingine ni kawaida tu kama nyimbo wewe unayo mwenyewe kwenye computer yako unaweka tu kwenye html hapo una play online na ukitaka una download kawaida tu aina mambo mengi.
 
Asante mkuu nimeyakubali maelezo yako kwa mfano jamii forum wanapateje pesa kupitia app yao
 
Asante mkuu nimeyakubali maelezo yako kwa mfano jamii forum wanapateje pesa kupitia app yao
sasa hilo mkuu wenyewe ndio wanajua ,ila me nachojua ukiwa unatengeneza website lazima uweke code za kukaa matangazo (kama utataka kuweka matangazo ili uweunalipwa )unapoenda kuomba adsense waje waweke matangazo kwenye website yako kwenye jamii forum hapo naona wameruhusu matangazo kukaa kwenye site yao.
 
Sure
 
Big up mzee, ulichokiandika ndicho ninachopitia Kwa sasa. Unaweza kusoma theories kutoka vitabuni lakini ukija ku-practice, kuandika code, unajikuta kama haukusoma vile.
Kwa kweli inahitaji moyo sana Ili kujifunza programming.
 
Ok naomba unieleweshe kuhusu server computer
 
Big up mzee, ulichokiandika ndicho ninachopitia Kwa sasa. Unaweza kusoma theories kutoka vitabuni lakini ukija ku-practice, kuandika code, unajikuta kama haukusoma vile.
Kwa kweli inahitaji moyo sana Ili kujifunza programming.

Kabisa mkuu yataka moyo sana,unasoma language gani mkuu?

Lakini mkuu kila kitu kinawezekana, kusoma kwa kupractice ndio mpango mzima aisee.
 
Kabisa mkuu yataka moyo sana,unasoma language gani mkuu?

Lakini mkuu kila kitu kinawezekana, kusoma kwa kupractice ndio mpango mzima aisee.
Visual basic.Net & C#.
But Kwa sasa nimeamua kujikita na VB. Net Kwa kuwa Mimi ni begginer wa masuala ya coding, na haswa ukizingatia najisomea/najifunza Mimi mwenyewe.
 
Visual basic.Net & C#.
But Kwa sasa nimeamua kujikita na VB. Net Kwa kuwa Mimi ni begginer wa masuala ya coding, na haswa ukizingatia najisomea/najifunza Mimi mwenyewe.

Kuna jamaa hapo nimemtaja ana account YouTube yuko vizuri kwenye C# , anaweza kukusaidia pia maana anavyofundisha ni taratibu sana yaani usipo elewa wewe hutakuja kuelewa tena code.
 
Sorry wataalamu nikiwa najaribu kujifunza java hatua za Mwanzo nimekumbana na changamoto kama hii, code yangu hii
Nijaribu ku run hiyo code naandikiwa hivi
Naomba msaada hii inatokana na Nini na nifanyeje? Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…