meemu_imbaseni
Member
- Jan 10, 2014
- 38
- 36
Sorry wataalamu nikiwa najaribu kujifunza java hatua za Mwanzo nimekumbana na changamoto kama hii, code yangu hiiView attachment 2318621
Nijaribu ku run hiyo code naandikiwa hiviView attachment 2318622
Naomba msaada hii inatokana na Nini na nifanyeje? Asante
Hongera sana. Na watu wengi programming language inawashinda kutokana na pupa. Unakuta mtu anajua basics tu anataka afanye kitu kikuubwa. Programming ni mdogo mdogo halafu usiwe mvivu kuuliza. lakini pia usikopi na kupaste codes bila kuzielewa zinafanyaje kazi.Ni hayo tu wakuu kujifunza Programming language tunakwama wapi?
Halafu tukahamia C/C++Pamoja na FOTRAN IV language, wakati huo tuki-punch cards na kuliungurumisha limashine!
Twende C++Mkuu solo learning unatumia kina Gani Twende battle la html/C/python/JavaScript
Hongera sana. Na watu wengi programming language inawashinda kutokana na pupa. Unakuta mtu anajua basics tu anataka afanye kitu kikuubwa. Programming ni mdogo mdogo halafu usiwe mvivu kuuliza. lakini pia usikopi na kupaste codes bila kuzielewa zinafanyaje kazi.
Hongera sana. Na watu wengi programming language inawashinda kutokana na pupa. Unakuta mtu anajua basics tu anataka afanye kitu kikuubwa. Programming ni mdogo mdogo halafu usiwe mvivu kuuliza. lakini pia usikopi na kupaste codes bila kuzielewa zinafanyaje kazi.
Yaani haiwezekani, mfano, kunaweza tokea error ndogo tu ikakushughulisha siku nzima, ukajakugundua kumbe ni kitu cha kitoto tu. Hiyo ndo programming. Shida ni kwamba Tz programming hawachukulii kama ni kazi kumbe ni kitu kinaumiza kichwa mno ndo maana hata ukimfanyia mtu project ukimtajia kiwango cha malipo anachukulia kama unamtania kwa sababu hawaelewi mziki uliopo, na hii ni kutokana na nature ya field yenyewe inaonekana kama umekaa tu kumbe inahitaji akili kuliko hata shughuli zingine za kisomi. Uelewa halisi kuhusu IT naamini TZ asilimia 60% bado. Mtu anatengeneza hardware mtaani anaitwa mtaalamu wa IT.Uko sahihi mkuu wabongo wengi wana pupa sana yaani anataka ajue programming ndani ya hata wiki tu,kitu ambacho akiwezekani,
Lakini vizuri wakajionea wenyewe akili ziwakae sawa.maana ukiwaambia hawakuelewi.
Msaada wadau,nina uelewa kidogo wa website ila shida sipo organized kwenye kutengeneza website napia mda mwingine nakuwa na kurupuka na ideas za kutengeneza website na mwishowe nakuwa na pata shida ku implement idea yangu.
1.Swali langu naanzaje kutengeneza mawazo vizuri na mwishowe niweze ku implement design website vizuri bila kukwama.
2.Naitaitaji Msaada wa formula nzuri ya kutengeneza idea adi implementation.
3.napenda pia kujua kama Kuna tools ya ku designs structure ya website Kwanza kabla ya coding .
Nawasilisha.
Hapa umelenga...Yaani haiwezekani, mfano, kunaweza tokea error ndogo tu ikakushughulisha siku nzima, ukajakugundua kumbe ni kitu cha kitoto tu. Hiyo ndo programming. Shida ni kwamba Tz programming hawachukulii kama ni kazi kumbe ni kitu kinaumiza kichwa mno ndo maana hata ukimfanyia mtu project ukimtajia kiwango cha malipo anachukulia kama unamtania kwa sababu hawaelewi mziki uliopo, na hii ni kutokana na nature ya field yenyewe inaonekana kama umekaa tu kumbe inahitaji akili kuliko hata shughuli zingine za kisomi. Uelewa halisi kuhusu IT naamini TZ asilimia 60% bado. Mtu anatengeneza hardware mtaani anaitwa mtaalamu wa IT.
Inavyoonekana wewe haujiamini na unachokitaka bado ukijui vizuri. Usicomplecate sana vitu kama unawazo lako anza kulifanyia kazi achana na maelezo mengi
Anza kujiuliza website yako itakuwa na pages ngapi za kufunguka (page ambazo ziko toufauti)
Mfano wa website ya education
Unapage ya contact us,about us,policy,Germans and conditions,page ya kufundishia,page ya kulipia kama watu watalipia,home page na zinginezo.
hapo namaanisha page ambazo mtu akibonyeza kitu kinafunguka.kila page unayoiona kwenye website ni watu wameweka.
Orodhesha majina yote ya pages utakazokuwa nazo kwenye website yako.hapo kwa kuangalia website yako ina vitu gani?
Baada ya hapo sasa inakuwa rahisi unaanza kutengeneza page moja baada ya nyingine.
Darasani hakuna utaratibu lazima iwe hivi.ni wewe tu mwenyewe unapangilia tu.kinachotakiwa ni website na sio maelezo tu halafu ukija kwenye kuandika code chali,sasa hiyo haina maana.
Hivyo vingine kama logo,jina la website design ya rangi hivyo unatakiwa ujue sio mpaka nikuambie hapa.
Nimekuelewa Nita vifanyia kaz vyote ulivyoniambi,ila Kwa upande wa query katika database language ipi ni nzuri kutumia kati ya mysqli na pdo Kwa maana tutorial nyingi za YouTube zipo outdated,unakuta Nina angalia tutorial vizuri tu,mwisho nakuja ku code unakuta inaleta errors za kutosha na unakuta code ni hiyo hiyo nimeangalia kwenye tutorial.sa sieliwi ni wanafanya makusudi kutengeneza error Ili watu wa comment kwenye account zao au lah au mm Ndio sieliwi.
Umenijibu vizuri kabisa,Kwa upande wa database Natumia mysqli Kwa php,ila Kwa upande mwingine ulivyosema ni old cjaelewa ni unazungumzia MySQL au.Data base ziko nyinyi sana mkuu ,kwa level yako wewe chagua yoyote tu,ingekuwa wewe ni googleau yahoo au Amazon
Ungesema kulingana na watu wengi na vitu nichague hii ,haujafikia hiyo level. Soma chagua kulingana na mahitaji yako.acha maneno mengi ya ipi bora ukijadili ipi bora hautaanza kufanya chochote.kama kwenye language huko.
Mtu uko busy unapoteza muda language ipi ni bora ,wewe chagua yoyote ile soma ukiweza Utahama.
Me natumia database ya MySQL na mongoDb.ndio zinamifano mingi sana YouTube ila pia unaweza kutumia vitabu sio lazima YouTube tu. Changamoto hapo ni kuconnect database na website yako mfano yaani ukiweka notes kwenye database zionekane kwenye website yako.
Hapo theory ya mysqli na pdo nimeiruka nimekuja moja kwa moja kwenye database tu nayoitaka automatically nimechagua pdo.achana na matheory sana base kwenye kufanya kitu kionekane ndio inakuwa njia nzuri yakukielewa na kukishika.
Me nilianza kusoma MySQL nikashindwa kuconnect database na website nikaiacha hiyo database nikasoma mongoDb nikafaniwa kuconnect ila sasa nikaona mbona zina katika hizo notes hazionekani vizuri nikahisi mongoDb sio Nzuri kumbe kwenye CSS,nilifanya code vibaya.
Nikaanza kusoma database nyingine inaitwa mariadb inatumiwa na Wikipedia hao,
Wakati na soma hiyo nikagundua zikosawa tu na MySQL na kwa kuwa nimeshajua kuconnect tayari kwenye mongoDb ngoja nirudi kwa MySQL baada ya muda nikafanikiwA kuconnect.kwa hiyo database yangu natumia MySQL mara nyinyi.
Hapana mkuu ila nahisi pia wao wanatafuta hizo viewzenu aingize hela.
Kila mtu na ufundishaji wake hiyo ni kawaida sana unaangalia na hauelewi tafuta mtu ambae utamuelewa sio kila mtu hapo YouTube hapo utamuelewa hapana mkuu.
Mkuu kasome tofauti ya mysqli na pdo.
Uliza hicho kitu utajua ipi ni nzuri kwa upande wako.
Ila kwa upande wangu nashauri pdo.
Sijui unatumia language gani,ila Kama unatumia language ya php tumia mysqli .
ila inaonekana hata hayo mambo pia ni old sana.na watu walishatoka huko.ndio maana unaona unakosa mifano sana.
Unatumia database gani?
Sijui kama nimekujibu swali lako vizuri mkuu?
Umenijibu vizuri kabisa,Kwa upande wa database Natumia mysqli Kwa php,ila Kwa upande mwingine ulivyosema ni old cjaelewa ni unazungumzia MySQL au.
Nimekuelewa kwaiyo inamaanishs MySQL haitatumika miaka ya karibuni,na hivyo mysqli ndio itatumika zaidi.Hapana mkuu MySQL ndio watu wengi wanatumia.
Hiyo ya kwako inaonekana wengi hawatumii sana.