Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

 

Attachments

  • 5ca68aa58ca4626cbb3a7118130adeb5.png
    529.5 KB · Views: 40
Naitumza hii, sijui kwanini kuna kitu ndani yangu kinaniambia nijifunze hizi mishe.

Sijawahi kusoma kabisa computer, ninachojua ni zile application tu, ila natamani sana nijue coding ili niweze kuwafundisha wanangu tangu wakiwa wadogo.
 
Ubarikiwe Sana mkuu
 
Hahahahahaha umeongea kwa uchungu kweli, ila kaka inategemea na Hardware gani anatengeneza na sijajua hata "IT" kwa bongo kama wanaelewa ni nini, pia kumbuka kuhathiri na kuhathiriwa kwa lugha ndio kuna leta shida na ndio maana hatushangai maduka ya electrical appliances kuitwa maduka ya electronics, Ivyo tuvumiliane tu maana tanzania yetu wasomi wengi wana elimu isiyokuwa na elimu (Wanasoma na kumaliza ila hawajui walivyo somea).
 

programming just like anything else in life, ukwel ni kwamba kutoka kwa kucode ni ngumu sana hizo story umezifuata kwa sababu waliofanikiwa story zao zpo public na znanoga kusoma ila kuna kundi lingine uku chini watu wamepigika wakaja kuachana nayo
 
Ni shida
 
daahh mie nina degree ya computer science nimeajiriwa halmashauri ila nachokifanya huko sasa daaahh mbingu na ardhi kwa kweli..hebu nitafte ada za watoto na kula yangu mie πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜†
 
daahh mie nina degree ya computer science nimeajiriwa halmashauri ila nachokifanya huko sasa daaahh mbingu na ardhi kwa kweli..hebu nitafte ada za watoto na kula yangu mie πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜†
Fundi computer tatizo likitokea kwenye ofisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Binafsi najifunza mwenye ila kwa sasa nimeacha kwa muda, maana nataka kununua kompyuta kwanza, maana nilikuwa najifunzia kwenye simu. Ni shida kweli hasa ukiwa huna wa kukuongoza error kama zikitokea zinaumiza kichwa kweli, sema bado sijawa mzuri sana kwenye programming, ila kidogo nimeanza kuelewa.
 
kikubwa usikate tamaa tu.
 
Reactions: 2v1
Ukiona unajifunza na unaelewa kila kitu jua kuna tatizo sehemu, na izo errors unatakiwa ukutane nazo sana na zikuumize ipasavyo kwani ndio zinakufanya uchimbue mambo kiundani zaidi ili uelewe ila ukinambia umeelewa kijuu juu basi jua umekalili
 
Hongera
 
Mimi laptop tuu ndo inanikwamisha, programming ni muhimu sana kwenye shughuli zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…