Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,033
- 723
Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie.
hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo.
anayejua nzuri zaidi anijuze pamoja na link
xmass njema