Mathias Byabato JF-Expert Member Joined Nov 24, 2010 Posts 1,033 Reaction score 723 Dec 25, 2010 #1 Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie. hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo. anayejua nzuri zaidi anijuze pamoja na link xmass njema
Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie. hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo. anayejua nzuri zaidi anijuze pamoja na link xmass njema
Eng Kimox Kimokole JF-Expert Member Joined Jun 9, 2010 Posts 1,037 Reaction score 767 Dec 25, 2010 #2 Tumia InDesign au QuarkXPress 8
YeshuaHaMelech JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,596 Reaction score 37 Dec 26, 2010 #3 Sina hakika kama Scribus inaweza kukutosheleza
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Dec 27, 2010 #4 Mathias Byabato said: Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie. hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo. anayejua nzuri zaidi anijuze pamoja na link xmass njema Click to expand... Lakini lazima uwe unazijua namna bya kuzitumia boss. Mimi nina Indesign cs4 unajua jinsi ya kuitumia?
Mathias Byabato said: Wenye kujua link za progamme za kutengeneza magazeti,majarida ,vipeperushi anisaidie. hizi page maker vision 6.5 na vision 7 zinaonekana kutokuwa na option muhimu kwa kazi hizo. anayejua nzuri zaidi anijuze pamoja na link xmass njema Click to expand... Lakini lazima uwe unazijua namna bya kuzitumia boss. Mimi nina Indesign cs4 unajua jinsi ya kuitumia?
YeshuaHaMelech JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 2,596 Reaction score 37 Dec 28, 2010 #5 YeshuaHaMelech said: Sina hakika kama Scribus inaweza kukutosheleza Click to expand... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016