Programs zenye uwezo wa kujiajir.

hipac

Member
Joined
Feb 16, 2014
Posts
24
Reaction score
23
Wadau kwa mtu aliesoma hgk/hgl na kuscore dvn 1/2 ni programs gan university anaweza soma na kuwa na uwezo wa kujiajir mwenyewe panapotokea kuchelewa kuajiriwa?
 
Cozi yeyote ya biashara sikuizi zina masomo ya ujasiriamali,,,,pia sheria unaweza ukawa mwanasheria wakujitegemea ,,,,alafu ualimu pia unaweza ukaanzisha tuition chumbani kwako (kama ni mjini lakini)
 
mie nlisoma hgl na chuo nilisoma BA.FILM so ni nzuri ukiwa na mtaji unajifungulia ofsi yako inakuwa poa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…