Programu Maalumu kwa Watahiniwa | Form two/four

Stanley Mims

Member
Joined
Aug 29, 2020
Posts
47
Reaction score
86
UTANGULIZI

Habari Mzazi/Mlezi wa Wanafunzi tajwa hapo juu. Kuelekea mtihani wa taifa wa Kidato cha pili na cha nne, Alpha learning platform inawaletea Programu (Kozi) Maalumu ya Wanafunzi wa kidato cha pili na cha nne wenye changamoto zifuatazo.

1. Kutojua/kutojua vizuri Kiingereza na Hesabu

2. Kutozungumza/Kutoandika vizuri lugha ya Kiingereza.

MAHALI

~Programu hii inaweza kuwa Nyumbani kwa mtahiniwa ama Kituoni Kimara Suka.

LENGO LA PROGRAMU HII

1. Kumuwezesha Mwanafunzi kujibu kwa ufasaha maswali ya somo la kiingereza pamoja na masomo mengine.

2. Kumuwezesha Mwanafunzi kukokotoa mada za lazima kwenye mitihani ya vidato hivyo.

3. Kumuwezesha Mwanafunzi kuzungumza kwa ufasaha Lugha ya Kingereza.

GHARAMA.
  • Programu ya Kingereza ni Tshs 40,000.
  • Programu ya Hesabu (Mathematics) ni Tshs 50,000.

MUDA WA PROGRAMU
~ Muda wa Progamu kwa Msimu wa kwanza (March-April) ni Mwezi mmoja na wiki mbili (Majuma 6)

~ Programu itaanza tarehe 1 Machi.

Mawasiliano: 0743123946
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…