Programu ya Kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Note kwa Kompyuta na Simu

Programu ya Kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Note kwa Kompyuta na Simu

robbinhood

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2020
Posts
526
Reaction score
1,524
Je, unahitaji mfumo wa kisasa wa kusimamia biashara yako? Invoice management System inakupa uwezo wa kutengeneza na kusimamia Invoice, Proforma, na Delivery Notes kwa urahisi. Mfumo huu unapatikana kwa desktop na simu, hivyo unaweza kutumia popote ulipo.

Sifa za Nina System:​

  • Invoice Management: Unda na rekebisha ankara kwa urahisi.
  • Proforma Invoice: Andaa ankara ya awali kabla ya kutoa huduma.
  • Delivery Note: Fuata maelezo ya bidhaa zilizotolewa kwa wateja.
  • Muonekano Rafiki: Inafaa kwa kompyuta na simu.
  • 24/7 Support: Huduma ya msaada kila wakati.

Napatikana Arusha, nipo tayari kukusaidia na kuhakikisha unapata mfumo unaokidhi mahitaji ya biashara yako.
+255758556624
 
Back
Top Bottom