Progress ya application ya leseni ya Starlink

5up3rN0v4

New Member
Joined
Jul 12, 2020
Posts
4
Reaction score
1
Wakuu, kuna mwenye update kuhusu progress ya Starlink kupata leseni ya kuoperate Tanzania?

Nimeapply fiber TTCL ipo meter 50 kutoka nilipo mwezi sasa unakata kila siku napigwa kalenda na kupewa sababu random yan.

Starlink ije, washtuke kidogo, sio fair inakuwa kama vile hatuwalipi

Wanakera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…