Progress ya Nairobi expressway

Oya hamna whatsapp mchati huko?
 
Hizo sehemu zote umetaja nazijua, unakujua mikindani.
 
Hizo sehemu zote umetaja nazijua, unakujua mikindani.
vizuri sana..kwanzia apo kibaoni,kwa shee eneo la marahemu mbunge ramadhan kajembe alipokua akiishi,mikindani primary,kajembe high school,amani primary school..alafu ukifika apo mikindani primary school ukitoka kwenye bara bara la lamii ukishuka na hilo bara bara utapita kanisa la pastor anitwa mbela..alikua na mtoto anitwa timothy mbela alikua rafiki yangu sana..lakini akaaga dunia..ukienda chini kabisa utafika kwa bahari...hio mtaa naijua sana..
 
Sasa hio ndo mitaa yangu. Hii picha nimepiga leo asubuhi, hio arrow inapoint silos ambazo ziko few metres kutoka kibaoni stage. Alafu hapo hapo kibaoni ndo kunajengwa mikindanii interchange.
 
Hapa ndo mikindani interchange, hio arrow inapoint zile silos nimekuonyesha hapo juu. Growth yenye iko mombasa sio mchezo.

 
Hapa ndo mikindani interchange, hio arrow inapoint zile silos nimekuonyesha hapo juu. Growth yenye iko mombasa sio mchezo.View attachment 1825518

View attachment 1825514
apo nakujua vizuri..last kupitia apo ilikua last year november...ukifutilizia hio barabara kuenda tao utapita bangala..kidogo..utaona petrol station na brigde..apo sai wameetandaza barabara ya concrete hadi uko changamwe round about nikifikiria ..juu niliacha kama wanataka kuitandaza..maendeleo yako mengi sana upande wa mainland wacha mombasa kwenye island kwenyewe..umeshawai fika apo stage ya mainland ukaona hilo fly over?sijui kama waliimalizia?
 
Sasa hio ndo mitaa yangu. Hii picha nimepiga leo asubuhi, hio arrow inapoint silos ambazo ziko few metres kutoka kibaoni stage. Alafu hapo hapo kibaoni ndo kunajengwa mikindanii interchange.View attachment 1825511
basi nikirudi tena mtaani nitakutafta..alfu by the way..mikindani waga tu nikama mtaa nyingine kivyake...yaani apartment ziko mingi sana...ata a magongo ziko less sana...mimi chenye hio mtaa ilikua inaniboesha nayo nikua hakuna matatu zao zenye zilikua zikifika ferry so sometimes unajikuta unapanda matatu mara mbili ndio ufike ferry..ama sikuizi zinafika?
 
Mikindani ninavyojua mimi sidhani km zinapatikana pale, ferry sijaziona mzee
 
Sijui kama wamemaliza au la juu nimepeza kidogo kufika mainland, last time niko huko ni last year january nikienda bomu stadium kucheki game. Saa hii lane ya kuja mikindani from town imefungwa tunazungukia changamwe police station.
 
Mikindani kumejengwa magorofa sio mchezo, nikipata nafasi nitabwaga picha zingine. Hakuna direct matatu mpaka ferry juu sii economical, best option ni upande ya town alafu upande ya ferry ambayo inakuaga cheap sana kama thirty bob tu.
 
Alafu wengine kule mji wao wa pili ni Mwanza na bado wanataka kuleta utoshanishaji.
Nikirudi nitaonyesha hayo ma fly over..yaani kule kuna jengwa lakini ni kimya kimya..nakuambia kuna siku narudi mtaani baada kukaa nairobi miaka 2..nilishutuka sana kuona ma flyover hizo eneo..i did not expect fly over kujengwa mitaani...na si moja pekee...
 
Tony254, Coco reborn ,komora096 ..lile fly over ya mainland magongo karibu na oil refinery..nimelipata ndio hii hapa..alafu video ya hio barabara yenye nilikua nikongea liko apo...from changamwe interchange hadi upande wa jomvo..apo kwa video pia utaona another fly over yenye iko kona changamwe( From 3:06 )..This road is beast when it comes to fly over..
Mainland magongo fly over


 
Hio barabara mpaka jomvu nilikua nikipeleka girlfriend wangu akiishi jomvu ansari dem days. Alafu hio road inaishia wapi juu mimi mwisho wangu ilikua mataa ya ndege alafu navuka reli narudi mikindani.
 
Hio barabara mpaka jomvu nilikua nikipeleka girlfriend wangu akiishi jomvu ansari dem days. Alafu hio road inaishia wapi juu mimi mwisho wangu ilikua mataa ya ndege alafu navuka reli narudi mikindani.
inaishia tu apo karibu na mataa ya ndege....waga inakutana na hio ya kuenda nairobi- mikindani -mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…