Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,345
- 5,718
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 😍
Seems some of the photos aren't displaying correctly..I don't know if its a problem on my end?10 year difference (2011-2021) Museum Hill Interchange View attachment 1977624
Hapa Wakenya wametuacha mbali sana katika modernization ya usafiri wa kisasa wa majiji makubwaWadau tazameni progress kubwa ambayo mradi huu umefanya miezi minne tu tangu ujenzi kuanza. Wachina wanakimbiza mradi huu kama baiskeli ya kuibiwa.
Tatizo hamna bicycle lane -dhambi asili enzi za kulinda mazingira.Wadau tazameni progress kubwa ambayo mradi huu umefanya miezi minne tu tangu ujenzi kuanza. Wachina wanakimbiza mradi huu kama baiskeli ya kuibiwa.